SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

TUNZA NGOZI YAKO KWA VIUNGO ASILIA 

Tulio wengi tumezoea kutumia vipodozi mbalimbali vitengenezwavyo viwandani, Leo katika toleo hili maalum nataka tuangalie namna ambavyo tunaweza hudumia na kuitunza ngozi kwa kutumia viungo vya asili, nataka tuangalie ni namna gan mtu anaweza kutmia tende na limao/chungwa katika kutengeneza barakoa (mask) ya usoni. Katika…

Urembo

JINSI YA KUTUNZA NYWELE KATIKA KIPINDI CHA RAMADHANI 

Kutokana na madiliko katika mfumo wa chakula katika ramadhani,nywele zako zitegemewe kudhoofu. Kwa wanawake wengine nywele zao zina kauka na wengine zinakatika. Habari nzuri ni kwamba unaweza kudhibiti hali hii kwa kufuata yafuatayo: Barakoa ya Nywele (Hair Mask) Kuza na Ng’aza Nywele zako kutumia Barakoa…

Dondoo

NINI ULE KATIKA KIPINDI HIKI 

Katika kipindi cha ramadhani unahitaji kuongeza juhudi katika kula chakula katika makundi yote matano ya chakula ili kuhakikisha aina na mpangilio wa chakula bora Vyakula vya kula: mikatenafaka na mazao mengine yenye nafaka matunda na mboga mboga nyama,samaki na kuku maziwa,jibini na maziwa ya mgando…

Uncategorized

Ndizi Mzuzu 

Ndizi ni moja kati ya chakula kinacholiwa sana katika futari, walaji huwa wanachanganya na mihogo na magimbi kutoa mchanganyiko wa Futari, Leo katika Futuru yako tutakueleza namna ya kuandaa Ndizi Mzuzu ambazo zinaungwa kwa tui la nazi. Zifuatazo ni mahitaji na hatua zitakazokuwezesha wewe kujipikia…

Mazoezi

Saumu na Mazoezi 

Tunashauriwa kufanya mazoezi ya mara kwa mara, na faida za mazoezi zipo nyingi ki afya, katika toleo hili la leo ambalo ni maalum kwa Ramadhani, sitakwenda kugusia faida za mazoezi, ntazungumzia katika toleo lijalo mbalo litatoka baada ya mfungo, Leo nataka tuangalie kama ni vema…

Food

Best Old School Recipes To Die For 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nam laoreet, nunc et accumsan cursus, neque eros sodales lectus, in fermentum libero dui eu lacus. Nam lobortis facilisis sapien non aliquet. Aenean ligula urna, vehicula placerat sodales vel, tempor et orci. Donec molestie metus a sagittis…

Cook

Tasty & Easy To Make Desserts With Blueberries 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nam laoreet, nunc et accumsan cursus, neque eros sodales lectus, in fermentum libero dui eu lacus. Nam lobortis facilisis sapien non aliquet. Aenean ligula urna, vehicula placerat sodales vel, tempor et orci. Donec molestie metus a sagittis…