SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

MWONEKANO WA KIOFISI 

Ni jumatatu nyingine ambayo watu wengi wana pata shida kuchagua nini wavae ofisini, ukizingatia ni mwezi mtukufu huwezi kuvaa suti ya sketi fupi au suruali ya kubana, inachukua muda kupata suluhisho hasa kwa upande wa wadada lakini tusicho jua kuna vitu vichache tu ambavyo vinaweza…

Uncategorized

SAMBUSA NA MAZIWA YA TENDE 

SAMBUSA ZA KUFUKIZA Mahitaji:- Manda za sambusa za tayari, 20-30 Nyama ya kima nusu kilo Mchanganyiko wa thomo na tangawizi mbichi vijiko 3 vidogo Mchanganyiko wa bizari kijiko 1 kikubwa Kitunguumaji kimoja kikate udogo Dania moja ikate udogo Maji ya limau moja Chumvi kiasi Na…

Mitindo

UBUNIFU KATIKA RAMADHANI 

Katika msimu huu wa mwezi mtukufu, Ni dhahiri kuwa wengi wetu tunapata wakati mgumu wa kujua tutavaa nini katika msimu huu. Hapa ndo tunapoona umuhimu wa kuwa na wabunifu, ambao kazi yao ni kutupa mwonekano mpya kila siku. Leo nimejaribu kuangalia baadhi ya mavazi ambayo…

Mitindo

JINSI MKUFU NA MKANDA UNAVYO BADILISHA MWONEKANO 

Katika msimu huu wa ramadhani, vazi lilokubwa na linalovaliwa na wanawake tulio wengi ni baibui, leo nataka tuangalie namna ambavyo tunaweza kuvaa mabaibui yetu kwa kuongezea baadhi ya vikorombwezo ili kulipa mwonekano wa tofauti machoni pa watazamaji wetu. Baibui si vazi ambalo wengi wanalivaa kwa…

Mitindo

SIO LAZIMA UVAE BAIBUI KILA SIKU 

Ramadhani ndio kwanza inaanza, Najua wengine ni kama mimi, tunawaza mabibui yenyewe machache nilio nayo na yanipasa nivae Stara kila siku nikiwa ofisini, Najua fika kwamba wote tunapenda kuonekana wapya kila siku ndio maana leo nikaamua kuandaa makala hii juu ya Maxi Sketi, Zipo za…

Uncategorized

CHUNGU CHA KWANZA #1 

Ukiwa umefunga mwili unakua na upufu wa nishati ambayo inapatikana katika chakula. Hivyo kwa kutambua upungufu wa nishati mwili unavunja baadhi ya misuli laini iliyopo mwilini na kuibadilisha kuwa nishati, ambayo mwili wenyewe unahitaji. Hivyo basi ni vema kuwa mwangalifu katika aina ya chakula ambacho…

Urembo

TUNZA NGOZI YAKO KWA VIUNGO ASILIA 

Tulio wengi tumezoea kutumia vipodozi mbalimbali vitengenezwavyo viwandani, Leo katika toleo hili maalum nataka tuangalie namna ambavyo tunaweza hudumia na kuitunza ngozi kwa kutumia viungo vya asili, nataka tuangalie ni namna gan mtu anaweza kutmia tende na limao/chungwa katika kutengeneza barakoa (mask) ya usoni. Katika…

Urembo

JINSI YA KUTUNZA NYWELE KATIKA KIPINDI CHA RAMADHANI 

Kutokana na madiliko katika mfumo wa chakula katika ramadhani,nywele zako zitegemewe kudhoofu. Kwa wanawake wengine nywele zao zina kauka na wengine zinakatika. Habari nzuri ni kwamba unaweza kudhibiti hali hii kwa kufuata yafuatayo: Barakoa ya Nywele (Hair Mask) Kuza na Ng’aza Nywele zako kutumia Barakoa…