SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Beyonce Na Oversized Shoes At The Grammy’s 

Usiku wa kuamkia leo tuzo kubwa za Grammy’s zilifanyika huko Los Angeles, U.S.A watu maarufu mbalimbali walihudhuria akiwepo the Queen herself, Queen B ambae amevunja record ya kuwa mshindi wa Tuzo nyingi za Grammy’s anyways Beyonce alienda kupokea Tuzo yake akiwa amevalia corset top na…

Mitindo

Namna 5 Za Kuonekana Stylish Kazini 

Moja kati ya vitu ambavyo wengi tunapitia ma-ofisini ni kuwa confused kati ya kuwa over dress na ku-low dress ofisini na chaguo kubwa huwa kuwa katikati yaani usiwe low wala over dressed na hapa ndipo tunapokutana wengi unakuwa na ma shirt yako ya rangi moja…

Mitindo

Gym Outfit Idea’s 

Where our gym girls at? na wale ambao tunaplan za kuanza gym mwaka huu tupo? Haya kuna ile kitu huwa tunasema gym kwenyewe sijui hata navaa nini, japo tunaenda kufanya mazoezi lakini haimaanishi tusipendeze right? Tunakuletea gym outfits ideas ambapo unaweza kuchagua ambayo unaona inakufaa…

Mitindo

Bongo Movie Na Fashion 

Huwa tunachukua muda kukosoa tunapoona makosa lakini pia huwa hatuachi kusifia pale panapo stahiki sifa, Miaka michache nyuma tulishawahi kukosoa bongo movies kutokana na makosa mbalimbali ya fashion leo tupo hapa kutoa pongezi kwao. Hatujui kama walisoma au ni kwenda na wakati kwasasa bongo movies…

Mitindo

High Waist Jeans Do And Dont’s 

High wasted jeans ni jeans ambazo zinakuwa ndefu mpaka tumboni na zinashika kiuno kwa jina lingine wanapenda kuziita mom jeans, aina hii ya jeans inakufanya kuwa classic , casual , sexy and chic katika muonekano wako ila inategemea umevaaa na nini. Katika kipindi cha hivi…

Urembo

Jali Ngozi Kwa Kufanya Haya 

Wengi hudhani kujali ngozi ni kupaka mafuta au kutumia skin careΒ  lakini kumbe kuna vitu vichache ambavyo tuna visahau kufanya na ni muhimu sana, vitu hivyo ni kama; Badilisha foronya za mito unayolalia. Tunapo lalia foronya kuna bacteria wengi ambao tunawaacha hivyo hata kama ukiwa…

Mitindo

Wema Sepetu & Paula Failed The Assignment 

Wema na Paula walihudhuria event ya Marioo ambapo alikuwa ana release album yake inayoitwa the kid you know. Event ilifanyika katika ukumbi wa mlimani city na wengi walihudhuria akiwepo chimama Wema Sepetu na Paula. Wema alivalia red & black outfit hii outfit ina mambo mengi…