Halima Kopwe Aibuka Kidedea Miss Tanzania 2022
Mei 20, 2022 Tanzania imepata mrembo wa Taifa ambae atakwenda kutuwakilisha katika kilele cha kumtafuta Miss Words. Halima Kopwe toka Mtwara ametwaa taji hilo la Miss Tanzania. Halima ambae anamiaka 23, amejishindia gari dogo aina ya Benzi lenye thamani ya shilingi milioni 30 na fedha…
The Kardashian Took Over Italy For Kourtnrey & Travis’s Wedding
Hii ndio ile hayawi hayawi mbona yamekuwa, haolewi mbona kaolewa. Kourtney Kardashian ni dada mkubwa wa The Kardashian ambae wengi hatukudhani kama sikumoja tutakuja kuona harusi yake but here we are. Well Kourtney ameshaolewa na mwanamuziki Travis Barker kwasasa wapo Italy kwaajili ya sherehe yao,…
Watu Maarufu Kuvaa Winter Jackets Kipindi Cha Jua
Leo kwenye fashion court tupo na watu maarufu wanaovaa winter jackets na jua hili la Nchini kwetu, tena basi wakiwa hawapo Iringa wala Mbeya wapo kwenye Jiji lililobarikiwa Jua na Joto. Yes we have seen it and imetushangaza unavaaje winter coat na hili jua? Are…
Roma Mkatoliki Kuhusu Mark Zugerberg Kuvaa Plain T-shirt
Mwanamuziki Roma Mkatoliki amechukua muda wake na kuandika kuhusu maisha na matumizi ya pesa, katika hoja yake kubwa aliliongelea ni kuhusu mmiliki wa kampuni za WhatsApp, Instagram,Meta na nyingine nyingi kuwa anavaa tu plain t-shirt na kula salad na maji. Tunaelewa Roma alikuwa anajaribu kuelimisha…
Artistic Looks From Amvca 2022
Baada ya kuona best looks kwenye Amvca 2022 tumeona tuwaletee hizi looks ambazo zenyewe zilikuwa kisanii zaidi, yaani zilibuniwa kwa namna ya tofauti kuna ambazo zilikuwa nzuri na kuna ambazo zilikuwa nope, asilimia kubwa ya looks hizi tumeona kuna ambao walikuwa inspired na looks za…
Top 9 Best MaleĀ Looks From AMVCA 2022
Wanaume hawakubaki nyuma kwenye kupendeza, tumependa kwamba wengi wao walivaa suit zinazoeleweka huku wakijaribu kuweka utofauti iwe rangi tofauti au kuongezea mbwembwe nyingine. Hawa ndio wanaume 9 waliopendeza zaidi katika macho yetu kwenye AMVCA 2022 Ebuka Siruti Denola Tope Shaggy Akin Elozanam Timini Deyime