Spotted Juma Jux Wearing Fake Tiffany & Co Sunglasses
Mwaka huu mwanzoni mwanamuziki Pharelly alihudhuria katika NIGO‘s debut Fall/Winter 2022 collection for Kenzo at Galerie Vivienne on January 23. Na moja kati ya vitu alivyovaa ilikuwa hii custom made sunglasses kutoka katika brand ya Tiffamy & Co, miwani hii inasemekana imetengenezwa na 61 round diamonds of over 25…
Namna Ambavyo Usafiri Unaweza Kuathiri Muonekano Wako
Kuna vitu mbalimbali vya kuangalia pale ambapo unachagua mavazi ya kuvaa kama mazingira, hali ya hewa ,muda etc lakini pia kuna vitu kama usafiri unaotembelea. Wengi usafiri huwa unatuzuia kuvaa baadhi ya mavazi leo tumekuletea tips za namna ya kuvaa kama unatumia usafiri wa Umma.
Jinsi Ya Kutambua Umevaa Fake Clothes
una baadhi ya vitu vinatokea kwa kujua na kutokujua unamkuta mtu kanunua nguo expensive lakini ni fake sio tatizo lake hilo kwa sababu alikuwa hajui. Leo tunakuletea tips zaidi ya kujua umevaa fake clothes au lah. Zipo njia nyingi sana za kujua kwanza anza na…
Namna Ya Kupata Ngozi Nzuri Baada Ya Kujifungua
Kuna wale ambao huwa ni God’s last born huwa wana glow wakiwa wajawazito na baada ya kujifungua lakini kunawale ambao ni watoto wa kambo wana patwa na mabadiliko ya homoni ambayo yanaweza kusababisha uharibifu wa ngozi ambao unaweza kuhitaji uangalizi wa karibu pamoja na kufanya…
Celebrities Costumes For Halloween 2023
Usiku wa Oktoba 31, ina semekana kuwa ni usiku wa Siku ya Watakatifu Wote, mara nyingi huadhimishwa na watoto kwa kuvaa masks za kuogopesha, Halloween inafikiriwa kuhusishwa na tamasha la Celtic Samhain,when ghosts and spirits were believed to be abroad. Well hio ilikuwa zamani, sasa…
What Nigerian Celebrities Wore At Lagos Fashion Week 2023
Lagos fashion week hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 26 mpaka 30 mwezi wa kumi, watu maarufu huwa wanhudhuria na kuangalia nini designers wameandaa na wengi wao hufika wakiwa wamependeza mno, na tupo hapa kukuletea kilichojiri mwaka huu na nani alivaa nini. Designer Mimi Yina au…