Thamani Ya Mavazi Ya Vanessa Na Rotimi
Vanessa Mdee na Rotimi wameonyesha sura za watoto wao Seven na Imani, lakini haikuwa regular face reveal walivaa matching outfits ambapo Seven na Rotimi walivalia agbada za rangi ya burgundy na animal print shoes huku wakimalizia mionekano yao na accessories ndogondogo wakati Iman alivalia kigauni…
Daring Looks From Burna Boy’s Mother
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa muziki wa Burna Boy utagundua anapenda fashion na mara nyingi akiwa ana perform ana dare kuwa wa tofauti, inawezekana hii inatokana na Influence ya mama yake aitwae Bose Ogulu. Mama wa Burna Boy na mwanamama ambae ana fashion za kipekee…
The Girls Are Loving This Shein Bag
Mwaka unaisha na kama kuna kitu ambacho mwaka huu umemalizika nacho ni kwamba hakukuwa na trends nyingi za accessories na bags, vingi vilichukua muda mchache na havikuvaliwa sana lakini kwa kufunga mwaka inaoneaka hii Moon Shaped Frosted Acrylic Handbag kushika kasi. Handbag hii ni perfect…
Timberland Boots Are Making A Comeback
Timberland boots zilikuwa founded mwaka 1973 na Nathan Swartz,kutokana na durability ya viatu hivi vilianza kujulikana na kuvaliwa na constructions workers, lumberjacks na wafanyakazi wa kazi nyingine ambazo zinahitajika viatu vigumu. Miaka ya 80 na 90 vikaanza kuvaliwa na watu wa kawaida na hii ilitokana…
Namna Ya Kuonekana Stylish Ukiwa Umevalia Suit
Suit ni moja ya vazi ambalo lima heshimika sana,na mara nyingi huwa lina kuwa styled simple maana tayari lenyewe linaongea. Lakini sometimes kuwa simple sana kunaweza kufanya muonekano wako uonekane basic, kama wewe ni moja kati ya wale ambao wanavaa suit kazini au kwenye mikutano…
Kupauka Kwa Miguu
Kuna sababu nyingi ambazo husababisha ngozi ya miguu yako hukauka, kama vile mabadiliko ya hali ya hewa, athari kwa kitu ambacho unatumia katika ngozi, au ugonjwa. Lakini pia kuna njia nyingi za kutuliza ngozi kavu kwa kupitia mabadiliko ya mtindo wa maisha yako, moisturizers, na…
Spotted Juma Jux Wearing Fake Tiffany & Co Sunglasses
Mwaka huu mwanzoni mwanamuziki Pharelly alihudhuria katika NIGO‘s debut Fall/Winter 2022 collection for Kenzo at Galerie Vivienne on January 23. Na moja kati ya vitu alivyovaa ilikuwa hii custom made sunglasses kutoka katika brand ya Tiffamy & Co, miwani hii inasemekana imetengenezwa na 61 round diamonds of over 25…
Namna Ambavyo Usafiri Unaweza Kuathiri Muonekano Wako
Kuna vitu mbalimbali vya kuangalia pale ambapo unachagua mavazi ya kuvaa kama mazingira, hali ya hewa ,muda etc lakini pia kuna vitu kama usafiri unaotembelea. Wengi usafiri huwa unatuzuia kuvaa baadhi ya mavazi leo tumekuletea tips za namna ya kuvaa kama unatumia usafiri wa Umma.
Jinsi Ya Kutambua Umevaa Fake Clothes
una baadhi ya vitu vinatokea kwa kujua na kutokujua unamkuta mtu kanunua nguo expensive lakini ni fake sio tatizo lake hilo kwa sababu alikuwa hajui. Leo tunakuletea tips zaidi ya kujua umevaa fake clothes au lah. Zipo njia nyingi sana za kujua kwanza anza na…
Namna Ya Kupata Ngozi Nzuri Baada Ya Kujifungua
Kuna wale ambao huwa ni God’s last born huwa wana glow wakiwa wajawazito na baada ya kujifungua lakini kunawale ambao ni watoto wa kambo wana patwa na mabadiliko ya homoni ambayo yanaweza kusababisha uharibifu wa ngozi ambao unaweza kuhitaji uangalizi wa karibu pamoja na kufanya…
Celebrities Costumes For Halloween 2023
Usiku wa Oktoba 31, ina semekana kuwa ni usiku wa Siku ya Watakatifu Wote, mara nyingi huadhimishwa na watoto kwa kuvaa masks za kuogopesha, Halloween inafikiriwa kuhusishwa na tamasha la Celtic Samhain,when ghosts and spirits were believed to be abroad. Well hio ilikuwa zamani, sasa…
What Nigerian Celebrities Wore At Lagos Fashion Week 2023
Lagos fashion week hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 26 mpaka 30 mwezi wa kumi, watu maarufu huwa wanhudhuria na kuangalia nini designers wameandaa na wengi wao hufika wakiwa wamependeza mno, na tupo hapa kukuletea kilichojiri mwaka huu na nani alivaa nini. Designer Mimi Yina au…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…