SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Afro Fashion

Lupita Nyong’o Stuns In Kitenge 

Sio kitu cha ajabu kumuona Lupita akiwa amevalia Kitenge, kama ambavyo wote tunajua Lupita ni m-Kenya akiwa amechanganyika na Mexican. Lakini ni mara chache kumuona mwanadada huyu akiwa amevalia African prints. Akiwa Nchini Nigeria mwanadada huyu alihudhuria event ya celebration of the life Olusegun Akanni…

Afro Fashion

The Color-Block Ankara Skirt By Sgtc Clothing 

 Sgtc Clothing ni brand iliyopo Nigeria na inamilikiwa na mwanadada  Adetoke Oluwo, ni brand ambayo inafanafanya vizuri hasa katika kuwa tofauti na brand nyingine katika mitindo,leo tuna crush na hii Color Block Ankara Skirt kutoka kwao, na watu maarufu wengi pia wameonekana kuvutiwa nayo Tumependa jinsi…

Afro Fashion

Mishono Bomba Ya Sketi Za Kitenge 

Unaweza usikumbuke mara ya mwisho umevaa skirt ya kitenge lini, au kukumbuka kumuona mtu anavaa na hii ni kwa sababu wengi kwa sasa wana shona styles za magauni,suruali, jumpsuit na pants. Skirt zime sahaulika kabisa lakini guess what? kuna wabunifu ambao bado wana utayari wa…

Afro Fashion

Namna Za Kustyle Kitenge Kisasa 

Jinsi ambavyo miaka inavyo enda ndivyo jinsi ambavyo mambo yana badilika, style zinabadilika lakini do we have to change kutokana na muda? au tujaribu kukifanya kile tulicho nacho kiendane na wakati? tunadhani kubadilisha ulicho nacho kuendana na wakati ni jibu sahihi kabisa. Basi tuliona mwaka…

Afro Fashion

Mishono Ya Kitenge Kwa Ajili Ya Kazini 

Japo kuna ambao wapo likizoni kuna wenzangu na sie ambao bado tupo makazini, wakati mwingine inakuwia vigumu kujua nini uvae jumatatu na unahitaji kuanza week yako vizuri ki-mavazi kufanya week yako nzima kwenda vizuri. Leo tunakuletea outfit ideas za kazini za kitenge tukiwa tumezitoa kutoka kwa…

Afro Fashion

Mishono Ya Vitenge Inspired By Chinyere Adogu 

Ukiongelea uzalendo unaongelea kila kitu kuanzia Lugha, mavazi hadi jinsi ambavyo unajibeba kama mu-Africa, na unawezaje kuwa mu-Africa mkamilifu kama huvai mavazi yenu? well kitenge kimekuwa kikifanya vizuri Duniani sisi kama wa Africa tupo proud, leo tunawaletea mishono bomba ya kitenge kwa wadada wa rika…

Afro Fashion

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Fashionista’s 

Fashionista’s kama wamerudisha mapenzi yao kwenye kitenge karibia kila page ya fashionista tunayo itembelea tunakutana na picha wamevaa vitenge & tunapenda tunacho kiona, sababu kubwa ikiwa ni kutangaza vya kwetu pia lakini pia kupata kujua mitindo mipya na jinsi ya kustyle vitenge vyetu, leo tunakuletea…

Afro Fashion

MIX AND MATCH KITENGE STYLES 

Kinacho trend sasa hivi katika mitindo hasa upande wa mishono ya vitenge ni kumix aina tofauti za vitenge katika outfit moja, ambacho unatakiwa kuwa makini nacho ni uwiaono wa rangi katika kitenge chako, hii ni baadhi ya mishono ambayo tumeiona Puffy Hands Mix it &…