Vitu Vitano Unavyoweza Kufanya Ku-level Up
Najua wengi wetu tumeenda shule kuna wale wadada ulisoma nao, wakati unasoma nao walikuwa the true definition of basic. Ukimuona hakutetemeshi hakutishi(wasemavyo waswahili). Basi umemaliza shule, miaka kadhaa imepita then katika pitapita zako unakutana nae au unaona picha yake mtandaoni, wakati mwingine hata rafiki anakutumia…
Namna 3 Za Kuipa T-shirt Yako Muonekano Mpya
Wewe ni mpenzi wa kuvaa t-shirt? Lakini huwa unavaa namna moja au mbili tu na inaanza kuwa boring? Tukisema namna moja au mbili tunamaanisha kuchomekea na kuchomolea t-shirt yako kwenye suruali au skirt uliyovaa? Leo tunakuletea namna 3 unazoweza ku-style tshirt yako ukapata muonekano mpya…
How To Level Up Your Tee & Jeans Look
Umeshawahi kuangalia mionekano casual ya watu maarufu wamevaa tu t-shirt na jeans lakini wakawa wamependeza ukajiuliza how do they do it? unaweza kukuta wamevaa t-shirt tu nyeupe na blue jeans hata wewe unazo lakini wao waka-stand out, ukabaki unajiuliza wewe unakosea wapi? Leo tunakuletea tips…
Namna 3 Nzuri Za Kufanya Mikanda Ya Brazia (Bra) Isilegee
Moja kati ya vitu ambavyo vina-stress wanawake ni mikanda ya Brazia kulegea, yaani unanunua brazia kilasiku kwasababu baada ya mifuo kadhaa mikanda inalegea. Hii inaweza kusababishwa na quality ya brazia lakini pia inawezekana inatokana na uanikaji wako wa brazia unasababisha mikanda kulegea, mfano unapo anika…
Faida Za Kuvaa Vizuri
Kuvaa vizuri ni kitu ambacho wengi wetu tunakipenda, mfano mzuri ni mimi ninaeandika hapa naamini ukivaa vizuri basi hata siku yako itakuwa vyema. Hata kama usipopata deal kubwa au kitu kikubwa zile smile na compliment unazozipata kutokana na mavazi yako zinaweka kuifanya siku yako iwe…
Jinsi Ya Kufanya Mkoba Wako Unukie Vizuri
Tunahifadhi vitu vingi kwenye mikoba na hii upelekea kuleta harufu ndani ya mikoba hii, mchanganyiko wa vitu tunavyo hifadhi na hili joto vikikutana basi inaleta tafrani na inawezekana ukaona aibu kufungua mkoba wako mbele za watu. Kuna namna mbali mbali rahisi za kufanya mkoba wako…
Matumizi Ya Stringy Belt Loops
Hizi ni zile kamba ambazo huwekwa kwenye nguo kama hooks lakini zenyewe huwa ni kikamba tu chembamba, wengi wetu huwa tunatumia kama loop kwa kupitishia mikanda. Well “Hio sio kazi yake” Kazi ya hizi loops ni kuwekea mkanda dukani ili usipotee, au kwenye kusafirishia nguo…
Matumizi Ya Loop / Vikamba Vya Ndani Ya Nguo
Inawezekana umeshawahi kukutana na hivi vikamba ambavyo vinawekwa ndani ya nguo na ukawa huelewi vinakazi gani. Huwa vinakera na wengi wetu huwa tunaishia kuvikata. Well vikamba hivi vinatumika katika kuning’inizia nguo katika hanger, kama vazi lako ni strapless, sleeveless, off shoulder, skirt au suruali basi…
6 Times Ms Doris Showed Us How To Style Strap Dress With Shirt Underneath
Doris ni fashionista kutoka Tanzania ambae utampata instagram kwa nickname yake ya ms_ris_eddy Ni moja kati ya fashionistas ambao Tanzania ina pashwa kujivunia, yaani sio yule wa fashion za trend Doris yupo kipekee anajua kujistyle. Well leo tumekuletea mara 6 ambazo Doris ametuonyesha namna ya…
How Transform An Outfit With Little Touch’s
Weekend Imefika na as usual weekend huwa tunapenda kuwa kwenye casual na comfortable fits. Lakini hii haimaanishi outfit yako iwe bore, umeshawahi kufikiria ni vipi watu maarufu wanavaa tshirt na jeans lakini wanapenda mno? basi leo tunakupa tips za nini unaweza kufanya ku-transform outfit yako….
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…