SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Afya

MKATE WA UFUTA KWA SAMAKI WA KUPAKA 

MKATE WA UFUTA Vipimo:   (vya kutokea mikate  6) Unga – 3 Vikombe vikubwa (Mugs) Tui la nazi au maziwa     – 2 ½ Hamira  –  1 Kijiko cha supu Chumvi    -Kiasi Sukari    -1 kijiko cha chai Yai  –  1 Ufuta  –     Kiasi Mafuta au…

Afya

VIAZI VYA NAZI KWA NYAMA YA NG’OMBE 

Vipimo Viazi – 3lb Nyama  – 1lb Kitunguu  – 1 Nyanya –  2 Kitunguu saumu(thomu/galic)     – 1 kijiko cha chai Manjano  –  ½ kijiko cha chai Curry powder  –   ½ kijiko chai Nyanya kopo  –   1 kijiko cha chai Pilipili ya unga      kiasi…

Afya

JIKONI LEO SHURBA KWA VITUMBUA 

Vipimo Nyamna Ya mbuzi ya mifupA -1 Kilo *Ngano nzima  – ¼ kikombe Shayiri zilizopaazwa  (quacker oats) za tayari  – ¼ kikombe Kitunguu saumua(thomu/galic) na tangawizi – 2 vijiko vya supu Kitunguu – 1 Mdalasini vijiti -2 Bizari ya jiyra (cumin powder/bizair ya pilau)- 1 kijiko cha chai…

Afya

FUTARI YA CHAPATI KWA MCHUZI WA KUKU 

Vipimo Vikombe Vinne (4) Vya Unga Wa Ngano Mweupe Vijiko vi tatu vya samli ~vijiko viwili vya chumvi vikombe viwili vya maji ya uvugu vugu samli (mafuta) ya kupikia chapati Namna Ya Kutayarisha Na Kupika                Mimina unga, samli na chumvi kwenye sinia au bakuli…

Afya

KUWA MWENYE AFYA NJEMA KWA KUFANYA HAYA 

Katika kujiweka fiti au tuseme kujiweka sawa kwa ajili ya kuonekana mrembo ni kazi ambayo inahitaji muda na uvumilivu vinginevyo unaweza kuwa sawa na chizi yoyote aliyejiwekea si tu maleba bali na mwili usiotamanika. Na kwa mwanamke ambaye ana mji wake, watoto , familia na…

Afya

FAIDA ZA MAJI YA LIMAO 

1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C 2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara 3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana…

Afya

JINSI YA KUTUNZA AFYA YAKO 

Afya ni hali ya kuwa vizuri au kujisikia vizuri kimwili au kiakili bila kusumbuliwa na maradhi yoyote, basi ukiwa na hali hiyo wewe ni mtu mwenye afya nzuri. Afya ya binadamu itaimalika zaidi kama atakuwa anafuatilia kanuni na taratibu za kujenga afya Kuna njia nyingi…

Afya

SABABU 5 KWANINI TUMBO LAKO HALIPUNGUI 

Unaweza ukawa una fanya mazoezi una jibana kula lakini tumbo lipo pale pale halipungui sana sana linaweza kilawa lina ongezeka, kuna sababu za kwanini halipungui kuna baadhi ya vitu una kosea katika safari yako ya kupunguza tumbo na vitu hivyo ni 1) Una fanya mazoezi…

Afya

MATUNDA NA VYAKULA KWA AFYA YA NYWELE ZAKO 

Mara nyingi kina mama na kina dada hupenda kuonekana warembo hususani katika masuala ya nywele, hapo ndipo utasikia wakijinadi kuwa, ‘mwanamke nywele bwana.’ Lakini ili kuwa na nywele nzuri na zenye afya huhitaji matunzo sambamba na namna mhusika anavyoishi ‘life style’ ikiwemo masuala ya mpangilio…

Afya

VYAKULA VINAVYO KUFANYA UONEKANE MZEE 

Kuna saa unaweza ukamuona mtu ambae ana umri mdogo lakini sura yake au ngozi yake na umri wake ni tofauti, hii hutokana na maradhi au kutumia vyakula vinavyo zeesha ngozi. Kutumia Cream au vipodozi vya ngozi haisadii sana kitu ambacho unatakiwa kukifanya ukiwa na tatizo…