SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Afya

NJIA ZA KUONDOA MICHIRIZI (STRETCH MARKS) 

Stretch Marks (michirizi) hutokea sehemu mbali mbali za mwili, mikononi, miguuni, mapajani, tumboni nk, wengi hutokewa kutokana na kuongezeka kwa mwili (kunenepa) au Ujauzito hii hutokana na ngozi kutanuka. Wengi hawaipendi na wana tafuta namna ya kuziondoa unaweza kuondoa stretch marks naturally (kwa njia za…

Afya

SAHAU KUHUSU CREAM KULA HIVI KWA NGOZI YAKO. 

1) Viazi vitamu vinaweza kukusaidia kupunguza kasi ya ngozi yako kuzeeka vina beta-carotene ambayo inaweza kugeuka kuwa Vitamia A ambayo husaidia kupunguza kasi ya uharibifu wa radical (inayo sababisha uzee) 2) Parachichi ni tunda la kijani lenye brimming na antioxidants na vitamini E, vyote viwili …

Afya

VYAKULA VYA KULA KUPATA TUMBO DOGO 

Wanawake wengi wame kuwa wakishtumiwa kwa kuwa na matumbo makubwa, wengi wetu hatujui ina tokana na nini na wengine tunachukua maamuzi magumu ya kufanyiwa operation au kuvaa vitu vyenye madhara mwilini mwetu. Hivi ni vyakula ambavyo vinaweza kukupa tumbo dogo bila madhara vinaweza kuchukua muda…

Afya

NINI ULE KUIPA NGOZI AFYA 

Wote tunapenda kuonekana warembo na vijana. Lakini inawezekana ukawa unajiharibu zaidi katika kujifanya uwe mrembo leo na kujiletea madhara makubwa yasiyotibika kesho. Pia, inawezekana unatumia hela nyingi na muda mwingi katika kuhakikisha ngozi yako inakuwa nyororo, nzuri, na ya kuvutia. Je, unafahamu kuwa kuna aina…

Afya

NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI YALIYO LALA 

Ikiwa ni jambo ambalo kila mwanamke ana litaka, hakuna mwanamke anaye penda kuwa na matiti yaliyo lala hasa kama huyo mwanamama bado kijana. Matiti hulala kutokana na mambo mbalimbali kama uvaaji wa blazia muda mrefu, kunyonyesha watoto, utoaji mimba nk, lakini kuna njia za kuyarudisha…

Afya

GANDA LA NDIZI NA MIUJIZA YA KUNG’ARISHA MENO 

Ndizi huliwa na maganda hutupwa tusicho kijua ni kwamba yale maganda ya ndizi yanaweza kung’arisha meno yetu kwa kufanya mambo machache sana. Nani asiependa kuwa na meno meupe? basi fanya yafuatayo: Kwanza menya ndizi yako kutoka juu kwenda chini kama wafanyavyo nyani, usianzie kwenye kitako…

Afya

MADHARA YA DAWA ZA NYWELE 

Wengi wetu tunapenda urembo, lakini kwa bahati nzuri au mbaya wa afrika tume barikiwa na nywele ngumu hii ime tupelekea kupenda kuweka dawa za nywele ili kuzilainisha na kuzipa muoneka mzuri, lakini dawa hizi zina uzuri na ubaya wake. Sayansi inaonyesha kuwa matumizi ya relaxer…

Afya

MATIBABU YA USO KWA KUTUMIA VITU VYA JIKONI 

Matibabu ya uso kwa kutumia vitu vya jikoni kama kiini cha yai,machicha ya nazi,tango na limao.Treatment hii inaweza kufanyika Mara moja kwa wiki au kila baada ya wiki mbili, unaweza kufanya hata mara moja kwa mwezi ukipata nafasi kama unakuwa busy sana lkn matokeo mazuri…

Afya

UMUHIMU WA MAHARAGWE 

Maharagwe imekuwa ni nafaka inayoliwa na watanzania tulio wengi hasa kutokana na kipato chetu. Lakini leo nataka nikwambia faida ipatiakanayo kwa matumizi ya nafaka hii katika afya mwanadamu. Hakika si wengi tuliokuwa tunaijua siri hii, ndio maana nimeona haja ya kushirikiana na nyinyi katika Makala…

Afya

Kwanini Unywe Maji? 

Kwa wale wavivu wa kunywa maji, nivema kuiacha hiyo tabia na kujifunza taratibu kunywa maji ya kutosha, usisubiri uhisi kiu ndipo unywe maji. Hakikisha unapata walau Bilauli nane za maji kila siku. Kuna sababu nyingi na wewe kunywa maji zifuatazo ni baadhi tu. Ngozi kuwa…