Reader Feature : Pendo Clement Luvanda @love_walcot
Tumeanzia hii session kwa ajili ya ku give back kwa wafutiliaji wa blog yetu lakini pia kwa yoyote katika jamii ambaye ana penda fashion, life style au urembo. Hii ni kuwapa nafasi watu wote na pia kupata kujuana vizuri zaidi si kila siku sisi au…
Best Fashion Tips Kutoka Kwa Stylist & Fashion Blogger Lehautestyle
Sote tunapenda kujifunza kutoka kwa watu mbali mbali, ikiwepo wale ambao tuna fanana interest, Lehautestyle ni moja kati ya blog ambazo tunazitembelea mara kwa mara ana penda fashion, ana toa tips, anapenda vyakula, life style na vingine vingi bila kusahau fashion sense ni fire, kwa…
UREMBO SI UHUNI MANENO KUTOKA KWA JASLINE GERALD
Anaitwa Jasline Gerald A.K.A Jazylarry ni model (mwanamitindo) anae chipukia kutoka Tanzania, Jazy ana ndoto kubwa ya kufanya kazi na kampuni ya BALMAIN, leo tupo nae katika Ana Kwa Ana tukitaka kujua mawili matatu kutoka kwake Afroswagga –Wengi tunakujua kama jazylarry jina ambalo unatumia katika…
MAHOJIANO NA MGOMBELWA BRAND
Mgombelwa ni mbunifu wa kiume kutoka morogoro, lakini pia ana fanya kazi zake Dar Es Salaam, tumepata nafasi ya kufanya mahojiano nae na alikua na haya machache ya kusema, Afroswagga: Kwanini ubunifu wa nguo? Mgombelwa: Ubunifu upo kwasababu tofauti’. watu wengi wanapenda kua na muonekano…
ANA KWA ANA NA FROLINYAH
Ana kwa ana ni kipengele ambacho huwa tuna fanya mahojiano na wanamitindo, wabunifu au mtu yoyote anaye jihusisha na maswala ya mitindo Tanzania, na leo tume kutana na mwanadada Florinyahdesigns ambae ubunifu wake ni wa kitofauti kidogo. Florinya ana tumia uzi na sindano kutengeneza Urembo…
LEILAN BEUTY “MTANZANIA KWENYE FILAMU YA CHAMANDI KAROH INDIA”
Leilan ni Mtanzania ambaye alikuwa India kujifunza maswala mazima ya make up,Leilan ambaye kwasasa amerudi nchini Tanzania akiwa amefungua darasa la kufundisha maswala ya make up pamoja na urembo kwa ujumla. Akiongea na Afroswagga ofisini kwake Tabata Segerea alisema “Nipo Tanzania natamani sana kufanya kazi…
IJUE TWO IN ONE ACCESSORIES
Mwezi huu AfroSwagga katika Ana Kwa Ana imefanya mohojianao na mbunifu Vyette ambaye yeye pamoja na mshirika wake Jonathan Lupilli ambaye ni mpiga picha ndio ambao wanaounda 2in1. Endelea…. Afroswagga – Two-one-accessories ni nani? Two-one-accessories – Two In One Accessories ni a handmade jewerly brand and…
MAKEKE NA MAKEKE YAKE KATIKA UBUNIFU
AfroSwagga katika Ana Kwa Ana imefanya mahojiano kwanjia ya mtandao na Msanii wa mitindo kama ambavyo napenda kuitwa yeye mwenye Bwa. Jocktan Maluli, maarufu kama MAKEKE, Pata kujua kafunguka yapi mbunifu huyu mwenye hasira na kazi yake. AfroSwagga: Makeke ni nani? Makeke: Makeke…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…