DIY DECONSRTRUCTED SHIRT TREND
Trend iliyopo kwa sasa ni kuvaa deconstructed nguo, yaani nguo ambazo zime vurugwa muonekano wake tumeona trend hii kwa watu wengi ila Rihanna ameonekana nayo mara nyingi zaidi ikiwemo ile ya kuvaa shirt mbele nyuma nyuma mbele leo tuna kuletea namna ya kufanya mwenyewe hizi…
STEP 3 RAHISI ZA KUTENGENEZA CHOKER
Choker ni kitu kilichopo kwenye trend kwa sasa, ni mikufu fulani hivi inayo bana ambayo ina weza ikawa ya dhahabu, almasi, leather, nguo na hata lace au uzi. Ni wewe tu na chaguo lako. Beauty & fashion blogger pia ni vlogger bi Shirley B. Eniang…
JIFUNZE KUFUNGA STYLE 3 MPYA ZA VIREMBA
Si kila siku unaamka na nywele nzuri au mood ya kuchana nywele vizuri hii isikufanye utembee njiani na nywele mbaya jifunze kufunga viremba ambavyo unaweza kuvalia na nguo yoyote ukaingia navyo popote na bado uka pendeza na kuonekana stylish
MWANAMAMA ALIE FUMA GAUNI LAKE LA HARUSI
Chi Krneta ni mwanamama ambae ame break the Internet kwa kushona gauni lake la harusi, tofauti na wanawake wengi ambao wanatumia zaidi ya $500 katika kununua magauni mazuri ya harusi Chi ametumia $30 tu sawa na Tsh 66000 kutangeneza gauni lake ambapo ametumia uzi na…
NG’ARISHA VIUNGIO VYA MIKONO, MAGOTI NA MIGUU NATURALLY
Kuna wale wenzetu ambao wana jichubua hizi sehemu huwa ngumu (viungio vya mkono, vidole na magoti) kung’aa kwa haraka, lakini pia hata kwa wale wenye ngozi zao za asili huwa hizi sehemu zinakua nyeusi si sawa na sehemu nyingine za mwili, namna ya kung’arisha sehemu…
FANYA HIVI KUZUIA RIPPED JEANS KUENDELEA KUCHANIKA
Jeans zilizo chanwa chanwa (ripped jeans) zina pendwa sana lakini tatizo ni moja tu jeans hizi pale zilipo chanika zina endelea kuchanika eidha ukifua au ukiwa ume kaa uka kunja goti basi taflani, hizi ndivyo unavyo weza kuzia tatizo hilo, GUNDI YA NGUO: Tumia gundi…
DIY: PENDAZESHA KUCHA ZAKO
leo katika DIY tunakuonyesha namna rahisi ambavyo unaweza kupaka rangi kucha zako bila kwenda kwa wapakaji rangi kucha na kutoe hela. https://youtu.be/HHF8-KsIIIg
DIY: KABATI LA KUHIFADHIA VIATU
Leo tunawaletea jinsi ya kutengeneza kabati la viatu, lakini kama uko vizuri kwenye kazi za mikono hasa mbao
DIY: CHOCKER
Okay hii ndio trend ya mjini sasa hivi kila mdada ana chocker japo haziuzwi aghali sana lakini tumeona ni vizuri kuwaletea jinsi ambavyo unawezakutengeneza mwenyewe ukawa wa tofauti sio sare sare na wengine. MAHITAJI 1.Lace 2. Ribbon… w 1-1/2″ satin au velvet au grosgrain pia…
JIFUNZE NAMNA YA KUBANDIKA KOPE ZA BANDIA
Sio lazima kwenda saloon kubandikwa kope,unaweza kufanya hata nyumbani ni jinsi tu ya kuchukua muda wako na kujifunza wazungu husema “practise make it perfect” jifunze mara kwa mara mpaka utakapo weza kabisa. Jifunze jinsi ya kubandika kope
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…