SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Do It Yourself

PETE YA MAWE MAWILI 

Kila mmoja wetu ana penda kuonekana tofauti wa kipekee hasa pale inapo kuja katika mitindo,na ili kuwa ivyo inabidi kuna vitu vingine ufanye mwenyewe leo tunakuletea pete ya mawe mawili MAHITAJI: Gundi mawe plies pete-2 Maelekezo fungua pete zako na uache kitobo katikati gundisha pete…

Do It Yourself

PIMP MKOBA WAKO 

Kuna ule mkoba mwenyewe una upenda ila sasa kuna sehemu ume chanika au umeisha hivi ndivyo unaweza kufanya uonekane mpya Mahitaji:   mkasi gundi kitambaa chaguo lako lining Maelekezo Pima kitambaa chako unataka kikae wapi na kiishie wapi. kata  kitambaa chako vizuri na ukigundishe sehemu…

Do It Yourself

IPE T-SHIRT YAKO MUONEKANO MPYA 

Unaweza ukawa na T-shirt ndani ambayo unaipenda lakini umesha iichoka ila huwezi kuitupa kwaio ipo tu huivai. Badilisha muonekano wake na uweze kuivaa tena kama mpya. Mahitaji T-shirt mkasi Uzi na sindano au cherehani Maelekezo Laza T-shirt yako sakafuni au sehemu ambayo itaipa uwiano mzuri…

Do It Yourself

MANUKATO YA MAUA YA JASMINE 

MAHITAJI Vodka – 2 vijiko viwili Maji ya Maua ya Machungwa – 1 kijiko Mchanganyiko wa Jasmine Matone 30 ya maua ya Jasmine Matone 5 ya maua ya Jasmine Matone 5 ya lavender MAELEKEZO Changanya mchanganyiko wako wa matone ya maua ya Jasmine,matone ya vanilla,…

Do It Yourself

HERENI ZA CHUPIO 

Katika hiki kipengele cha fanya mwenyewe tuna waletea vitu ambavyo unaweza kufanya mwenyewe kirahisi na nafuu, ni vitu ambavyo unaweza kufanya ukavaa au kugeuza biashara. kwa sasa vitu ambavyo vinapendwa zaidi ni vitu ambavyo vya kipekee, watu wengi hawapendi kuvaa vitu ambavyo mwingine nae anacho,…

Do It Yourself

MKUFU WA KIGOZI 

Mkufu huu utakugharimu kiasi kidogo cha pesa lakini utakupa muonekano wa kisasa, pia una weza kuifanya mingi ukauza. lakini pia unaweza kuifanya ikawa mingi rangi tofauti tofauti ya kwako mwenyewe kwa ajili ya matumizi yako ukawa na muonekano wako wa kipekee MAHITAJI: – mkufu –…