VITU VITATU VYA KUFANYA WEEKEND HII
Finally weekend hii hapa kwa wengine wame choka na ku party usiku mzima lakini wale wenzetu na sisi ambao weekend ikifika tuna fikiria ku seat back, ku relax na kuto kufikiria chochote zaidi ya kula na kuangalia movies. lakini kuna wengine hawa tuna waita stylish…
3 Tips For Achieving Straight Posture
Week iliyopita tuliongelea kuhusu Bad Posture To Fix For Confident Body Language, tulipokea maswali mengi na moja wapo lilikuwa mtu anaanzaje kuwa na straight posture, kiukweli kama hujazoea si rahisi na lazima utajisahau na kukakaa au kutembea ukiwa umeinama au kujikunja. Leo tunakulete tips 3…
Proper Table Manner
Unaweza kuwa umevaa umependeza, una tembea kwa madaha na heels zako, umebeba ka clutch kazuri unanukia vyema yaani uko proper kabisa mmetoka kama ni marafiki au date ukafika uendapo halafu vitu vidogo tu vikakutia dosari, utasikia yaani msichana mrembo kapendeza ila hana proper table manners,…
3 Bad Posture To Fix For Confident Body Language
Kama kuna vitu ambavyo hatufundishwi hasa sisi wa-Africa ni kuhusu kujiamini na body language, kwetu tembea utakavyo, kaa upendavyo ni wewe na maisha yako lakini kumbe kuna namna ambavyo tunatakiwa kufanya vitu hivi tunapoenda mbele ya watu wanaojua hivi vitu wana tutafsiri vibaya kama hatuna…
NAMNA 5 ZA KUDUMISHA NYWELE ZENYE DAWA
Wengi wetu huwa tuna dhani kuweka dawa na kufanyia steaming ndio kutakuza na kufanya nywele zetu kuwa na afya, hivyo utakuta mtu ana weka dawa kila baada ya mwezi na kufanyia steaming kila baada ya week mbili. Hii ndio husababisha nywele kunyonyoka na kutokua na…
KUZA NYWELE KWA MAJI YA MCHELE
Ina shangaza ndio, na ina weza isiaminike lakini huo ndio ukweli. Maji ya mchele yana faida kubwa katika nywele una weza kuuliza kivipi na nani yame msaidia, ina semekana kabila la Yao kutoka kijiji cha Huangluo Nchini China ndilo kabila ambalo lina wanawake wenye nywele…
Matumizi Ya Loop / Vikamba Vya Ndani Ya Nguo
Inawezekana umeshawahi kukutana na hivi vikamba ambavyo vinawekwa ndani ya nguo na ukawa huelewi vinakazi gani. Huwa vinakera na wengi wetu huwa tunaishia kuvikata. Well vikamba hivi vinatumika katika kuning’inizia nguo katika hanger, kama vazi lako ni strapless, sleeveless, off shoulder, skirt au suruali basi…
Perfect Bra Check
Kama kuna kitu ambacho huwa kinasumbua wanawake wengi ni kujua perfect bra ipoje. Wengi wetu tunavaa blazia tukiwa hatujui kumbe tumekosea sio size zetu, mfano unaweza kukuta blazia imekutosha kote lakini nyama za pembeni zinaonekana, au nyama za juu hapa kifuani zimetuna wenyewe tunaita ku-boost,…
Namna Ya Kuboresha Afya Yako Wakati Huu Wa Isolation
Kama ambavyo sote tunajua tumeambiwa tuepuke misongamano, kuna wale ambao wameambiwa wafanyie kazi nyumbani, kuna wale ambao wanaenda kazini lakini wana practice social distance etc. Hii inapelekea wengi wetu kuwa nyumbani na kuwa karibu na vyakula, lakini pia kufungwa kwa sehemu za mazoezi ( gym…
Muongozo Wa Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako
Njia rahisi kabisa ambayo watu wengi huitumia katika mionekano yao ni ku-match mavazi yao na kitu kimoja wapo walichokivaa mfano: kumatch mavazi na pochi au viatu, unaweza kuona itakuwa too much lakini ni njia nzuri ya kufanya muonekano wako uonekane coordinated Leo tunakupa muongozo wa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…