SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Dondoo, Hair

NJIA ZA KUONDOA M’BA KICHWANI 

M’ba hutokana na ukavu wa ngozi, pia fungus ambao hutokana na cell za ngozi zilizo kufa. Mba hutia aibu na wengi hufikiri mba hutokana na uchafu kwaio pale unapo kuna kichwa mbele za watu asilimia 99 ya watu hao watajua nywele zako ni chafu hujaosha…

Dondoo, Urembo

BARAFU NA MAAJABU YAKE KATIKA NGOZI 

Sidhani kama wengi wetu tunajua kwamba barafu ina weza kukusaidia mambo mbali mbali katika ngozi, haya ndio mambo ambayo barafu inaweza kusasaidia 1:Tumia barafu kukandakanda kwenye chunusi kubwa kuifanya ikauke 2:barafu ukiikanda kwenye macho yaliyovimba kutokana na kutolala au uchovu huyarudisha macho yako kawaida. 3:unaweza…

Dondoo, Mazoezi

MAZOEZI KWA SHEPU NZURI (SQUARTS) 

Hakuna mtu asiye penda shepu nzuri hasa kwa wasichana na wamama wa mjini lakini wengi wao hawana muda wa kwenda Gym kufanya mazoezi eidha kwa sababu ya kukosa muda (kazini, familia) au kwa uvivu wa hapa na pale, Squarts ni mazoezi yanayo saidia kukaza mwili,aina…