Chomoka kijanja Weekend hii
Leo tumekuletea baadhi ya mitindo na mavazi ambayo unaweza kuvaa weekend na ukapendeza zaidi katika mtoko wowote.
NAMNA YA KUPAKA DARK LIPSTICK
Ikiwa ni mtindo ambao umeingia sana wakati huu, kila mtu ana penda kupaka lipstick za giza au dark lipstick, tumeona ni bora kutoa dondoo chache za vipi unaweza kuipaka ki ubora zaidi kama professional MAHITAJI sukari na asali lipstick ya giza (dark lipstic rangi uipendayo)…
NINI UFANYE UKIENDA KWENYE MANUNUZI
Mara nyingi ime tokea tukienda kufanya manunuzi (shopping) tunarudi na vitu tusivyo vitaka na kujutia au hata kutumia fedha nyingi kuliko tulivyo tegemea. Hii inatokana na kwamba tukiwa tunaenda shopping hatupangi ni kipi tunacho kifuata huko,hizi ni dondoo chache za vipi ufanye manunuzi yako sahihi…
KAROTI KWA NGOZI BOWRA
Karoti sio zao geni, najua tulio wengi tunalifahamu kama kiungo cha mboga. Kwetu Tanzania tumezoea kutumia karoti katika kuunga mchuzi na wachache hutafuna kama tunda. Lakini kinyume na matumizi hayo, ulaji wa karoti una faida nyingi katika urembo na mwili kwa ujumla, Leo nataka tuangalie…
FANYA HAYA ILI UNUKIE SIKU NZIMA
Wengi wetu huwa ina tulazimu kutembea na manukato kwenye mapochi ili kuweza kujipulizia kila unapo hisi manukato yako hayanukii tena mwilini, hii inapelekea kununua manukato mara kwa mara lakini kumbe ukipaka manukato yako nyuma ya masikio,kwenye nywele, kwenye kitovu, nyuma ya goti, na kwenye kikonyo…
ONDOA VICHWA VYEUSI USONI
Vichwa vyeusi usoni usababishwa na vipele au mchanganyiko wa uchafu na mafuta katika tundu za hewa. kiukweli vinakera si kwa wanawake tu bali hata wanaume. njia chache za haraka na rahisi za kutoa vichwa vyeusi usoni. 1) BARAKOA YA UTEPE WA YAI Njia hii ni…
UJAUZITO USIWE KIKWAZO
Wakina mama wengi wa kiafrika huwa tunapata kigugumizi katika nini tuvae hata tukipata mialiko katika sherehe mbalimbali kulingana na hali zetu za ujauzito. Naweza kusema wengi tunakumbana na mtihani huu kwasababu ya kuongezeka kwa ukubwa wa miili yetu, na kulingana na hali ya uchumi tunashindwa kwenda…
MATUMIZI YA MAKE-UP BRUSH
Brush Ya Powder 1. Powder brush hii ni kwa ajili ya kupaka aina yoyote ya powder foundation 2.Flat brush-kwa ajili ya kupaka contour 3)Kabuki brush-kwa ajili ya kuapply powder katika mwendo wa mviringo 4)Smudge brush– kama unataka mwonekano wa jicho kuwa smokey tumia hiii 5)Blending…
MPANGILIO KATIKA MKOBA
Wanawake wengi hupata shida pale wanapo taka kupangilia mikoba yao, kwa kutokujua kipi wakiweke wapi na wapi pakae nini. Mara nyingi hupoteza vitu kama pini,chupio kwa kuviweka vibaya na kuna wakati hadi una hisi aibu kufungua mkoba wako mbele za watu kwa sababu tu ya…
Nini Uvae Kesho, NyamaChoma Festival
Nyamachoma Festival ni moja kati ya sherehe zilizojizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es salaam. Sherehe hizi uhudhuriwa na vijana wengi, ambao wanakwenda kula nyama na kufurahi pamoja na wenzao. Ikiwa imebaki siku moja tu Kufikia Sherehe hizo, ambapo kesho zinatarajiwa kufanyika, najua wengi wetu hususani…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…