SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Dondoo, Skin Care, Urembo

KAROTI KWA NGOZI BOWRA 

Karoti sio zao geni, najua tulio wengi tunalifahamu kama kiungo cha mboga. Kwetu Tanzania tumezoea kutumia karoti katika kuunga mchuzi na wachache hutafuna kama tunda. Lakini kinyume na matumizi hayo, ulaji wa karoti una faida nyingi katika urembo na mwili kwa ujumla, Leo nataka tuangalie…

Dondoo

FANYA HAYA ILI UNUKIE SIKU NZIMA 

Wengi wetu huwa ina tulazimu kutembea na manukato kwenye mapochi ili kuweza kujipulizia kila unapo hisi manukato yako hayanukii tena mwilini, hii inapelekea kununua manukato mara kwa mara lakini kumbe ukipaka manukato yako nyuma ya masikio,kwenye nywele, kwenye kitovu, nyuma ya goti, na  kwenye kikonyo…

Dondoo

ONDOA VICHWA VYEUSI USONI 

Vichwa vyeusi usoni usababishwa na vipele au mchanganyiko wa uchafu na mafuta katika tundu za hewa. kiukweli vinakera si kwa wanawake tu bali hata wanaume. njia chache za haraka na rahisi za kutoa vichwa vyeusi usoni. 1) BARAKOA YA UTEPE WA YAI Njia hii ni…

Dondoo, Mitindo

UJAUZITO USIWE KIKWAZO 

Wakina mama wengi wa kiafrika huwa tunapata kigugumizi katika nini tuvae hata tukipata mialiko katika sherehe mbalimbali kulingana na hali zetu za ujauzito. Naweza kusema wengi tunakumbana na mtihani huu kwasababu ya kuongezeka kwa ukubwa wa miili yetu, na kulingana na hali ya uchumi tunashindwa kwenda…

Dondoo

MATUMIZI YA MAKE-UP BRUSH 

Brush Ya Powder 1. Powder brush hii ni kwa ajili ya kupaka aina yoyote ya powder foundation 2.Flat brush-kwa ajili ya kupaka contour 3)Kabuki brush-kwa ajili ya kuapply powder katika mwendo wa mviringo 4)Smudge brush– kama unataka mwonekano wa jicho kuwa smokey tumia hiii 5)Blending…

Dondoo

MPANGILIO KATIKA MKOBA 

Wanawake wengi hupata shida pale wanapo taka kupangilia mikoba yao, kwa kutokujua kipi wakiweke wapi na wapi pakae nini. Mara nyingi hupoteza vitu kama pini,chupio kwa kuviweka vibaya na kuna wakati hadi una hisi aibu kufungua mkoba wako mbele za watu kwa sababu tu ya…

Dondoo, Mitindo

Nini Uvae Kesho, NyamaChoma Festival 

Nyamachoma Festival ni moja kati ya sherehe zilizojizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es salaam. Sherehe hizi uhudhuriwa na vijana wengi, ambao wanakwenda kula nyama na kufurahi pamoja na wenzao. Ikiwa imebaki siku moja tu Kufikia Sherehe hizo, ambapo kesho zinatarajiwa kufanyika, najua wengi wetu hususani…

Afya, Dondoo

UMUHIMU WA MAHARAGWE 

Maharagwe imekuwa ni nafaka inayoliwa na watanzania tulio wengi hasa kutokana na kipato chetu. Lakini leo nataka nikwambia faida ipatiakanayo kwa matumizi ya nafaka hii katika afya mwanadamu. Hakika si wengi tuliokuwa tunaijua siri hii, ndio maana nimeona haja ya kushirikiana na nyinyi katika Makala…

Afya, Dondoo

Kwanini Unywe Maji? 

Kwa wale wavivu wa kunywa maji, nivema kuiacha hiyo tabia na kujifunza taratibu kunywa maji ya kutosha, usisubiri uhisi kiu ndipo unywe maji. Hakikisha unapata walau Bilauli nane za maji kila siku. Kuna sababu nyingi na wewe kunywa maji zifuatazo ni baadhi tu. Ngozi kuwa…

Dondoo, Mazoezi

UMUHIMU WA PUSHUP KWA WANAWAKE 

Pushup ni moja kati ya zoezi zuri Zaidi kwa Wanawake. Kwanini? Pushups za mara kwa mara haizitaimarisha kifua chako tu, lakini pia kutengeneza umbo zuri la Mabega, Misuli ya Mikono (Triceps), Misuli ya Makalio(Glutes) na kufanya misuli hiyo kuimarika na kukaza. Kuna aina nyingi za…