Muongozo Wa Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako
Njia rahisi kabisa ambayo watu wengi huitumia katika mionekano yao ni ku-match mavazi yao na kitu kimoja wapo walichokivaa mfano: kumatch mavazi na pochi au viatu, unaweza kuona itakuwa too much lakini ni njia nzuri ya kufanya muonekano wako uonekane coordinated Leo tunakupa muongozo wa…
Jua Toauti Ya Vipodozi Organic Na Natural
Kila asubuhi wanawake wengi yumkini na wewe unaesoma hapa unaweza kuwa mmoja wao huamka na kupaka vitu tofauti tofauti mwilini. Kile ambacho wengine hawaachi kufikiria ni nini wanaweka kwenye ngozi yao. Vipodozi vingi sana na bidhaa za utunzaji wa ngozi leo zimejaa viambata vyenye kemikali…
Graduation Outfit Do And Dont’s
Ni graduation season kila mwanafunzi ambae amemaliza chuo/shule ana jiandaa na kusheherekea katika mahafali yake, lakini as usual swali la nini mtahiniwa huyu avae katika graduation yake huwa linakuja, ki kwetu kwetu ukiangalia kwenye mitandao wengi huwa wanavaa bandage dresses ambazo si mbaya zimekaa official…
Jua Namna Ya Kuondoa Harufu Mbaya Ya Viatu
Hivi Ushawahi kuwa kwenye Mkusanyiko wa watu na Mara ghafla waanza kusikia Harufu mbaya na Hapo Hapo unabaini inatoka kwenye viatu. Utajisemesha Nani huyo kuvua viatu? Huku ukibana pua. Kama hujawahi kukutwa na jambo hili huwezi kuelewa vile mhanga anavyojisikia. Baada ya kumaliza kusoma hapa hutotaka…
Dondoo Za Kufanya Unyunyu “perfume” Wako Udumu Kwa Muda Mrefu
Kama wajikuta unyunyu wako Ukifika muda wa chakula cha mchana “lunch” imeisha au ukiweka unyunyu ghafla imeisha dondoo hizi zinaweza kukusaidia. Kama mtaalamu wa Urembo mmoja anavyosema, Joanne Dodds ” Tunapenda kunukia vizuri siku nzima, Wakati mwengine unyunyu wako unapotea pale tu unapomaliza kuweka ”…
Ondoa Harufu Mbaya Kinywani Kwa Kutumia Mdalisini, Limao Na Asali
Muonekano wako mzuri utakamilishwa na Jinsi utakavyotabasamu, na vile utakavyoweza Kuongea kwa kujiamini. Tabasamu zuri na mwanana linakamilika pale unapokuwa na ngozi yenye afya njema na kinywa chenye harufu nzuri na meno yenye kung’aa. Leo baada ya kusoma Makala hii, Utaweza kujisaidia kuondoa harufu mbaya…
Pata Kujua Kuhusu Tanzanite Womens Forum & Lunch Na Nini Cha Kuvaa
Tarehe 9 mwezi wa tatu kuna event ambayo inaitwa Tanzanite Womens Forum And Lunch, tumepata nafasi ya kufanya interview na mbunifu Khadija Mwanamboka ambae yeye ni moja kati ya waanzilishi wa event hii ametuelezea zaidi kuhusu event hii Afroswagga: Unaweza kutupa hint ya event inahusu…
Vitu Muhimu Kwa Mwanaume Kuwa Navyo Katika Utunzaji Wa Kucha
Usafi haubagui, iwe mkaka au mdada lazima uwe nadhifu haijalishi upo nyumbani, kazini, ama barabarani, Moja ya jambo ambalo wakaka wengi tumeona hushindwa kufanikisha ni usafi wakucha za mikononi na miguuni. Waweza kuonana na mkaka mtanashati kapendeza lakini ukatazama kucha ukaishia kushangazwa na uchafu uuonao. Ili…
Tatizo La Jasho La Njano Kwapani Na Suluhisho Lake
Sio Dar pekee bali hadi mikoani ni joto lisiloelezeka kila siku. Hii husababisha watu kutokwa jasho lisilo la kawaida n ahata mwili na nguo nzima kulowa kama vile umenyeshewa na mvua. Waweza ona wengine wakitokwa jasho makwapani ikiwa na rangi ya njano. JASHO LA NJANO…
Baby Steps Katika Kupungua Uzito Nakuwa In Shape
Body goals. Body goals. Well kila unaposcroll mtandaoni waweza ona kila mmoja akiwa fit, working out na waishia kucomment tu. Waweza kuwa wahitaji kuwa in shape but hujui uanzie wapi maana kila kukicha upo pale pale. Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa –…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…