SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo

Color Hacks For A Killer Outfit – Part 2 

Week iliyopita tuliangalia namna 3 ambazo unaweza kupangilia rangi zako ili kupata muonekano mzuri,tuliongelea kuhusu jinsi ambavyo unaweza kuanza taratibu mpaka ukafikia sehemu unayo itaka Take Baby Steps / Power Of Contrast  Monochrome Colors  Pick A Common Color  Unaweza kuingia hapa kusoma zaidi Color Hacks For…

Afya

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 3 

Habari Afromates, ni jumatano nyengine katika muendelezo wetu wa dondoo za afya ambapo tutaendelea na sababu nyengine inayosababisha ukuaji wa kitambi ambapo leo tutaangalia aina ya ulaji. Ambavyo vyakula vyote venye wanga hupelekea kuongeza uzito pia kitambi kwenye mwili. Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna…

Dondoo

Unahitaji App Hii Ili Kufanya Mazoezi Mwenyewe 

Tulio wengi changamoto ya kipato na na muda imekuwa sababu kubwa linapokuja swala la mazoezi, wapo wanaokosa muda wa kuhudhuria gym, wapo wanashindwa kulipia gharama. Lakini pia tupo ambao vyote vinatushinda, sababu zipo nyingi lakini hizi mbili ndio hasa zimetufanya kuandika makala hii ya App unazohitaji…