Fashion Fix: How To Get Rid Of Camel Toe
We all have days ambazo unataka kuwa free kuvaa tight pants, leggings na kushow off miili yetu, some huwa wanaamua kutoka hivyo hivyo lakini wanakuwa very uncomfortable na wengine wanaamua kuacha kuvaa kwa sababu ya maungio yako kujichora vibaya hasa mbele, well hizi ndizo njia…
Trend Talk Tuesday – The Extra Long Belt Trend
Mikanda ipo tangu na tangu huwa inabadilika tu styles kuna waist belts, corset belts, purse belts etc lakini pia material yanabadilika kuna zile za suede, lather, kuna metallic pia ili mradi unapata kile unapenda pia kuna tofauti ya sizes hii hutokana na msimu na trends,…
Plus Size Tips Tumejifunza Kutoka Kwa Ashley Graham
Ashley Graham ni plus size model kutoka America ambae sisi na wengine wengi tunapenda anavyo jistyle kutokana na mwili wake as we always say fashion knows no age, limit or type of body ni wewe tu na kujitambua na kujua uvae nini unapendeza, kwa wale…
Ng’arisha Ngozi Kwa Kutumia Unga Wa Dengu
Unaweza ukawa una penda kupika/kula bagia za dengu au chakula chochote kinacho pikwa kutokana na unga wa dengu bila kujua unaweza kutumia dengu hio hio katika kufanya ngozi yako ing’ae. Kama ambavyo binadamu tunategemeana na mimea na wanyama katika kupata mahitaji yetu basi ndivyo ilivyo…
Tips On How To Dress Up For The Weekend
Siku tano za week wewe ni suits, pencil skirts, official shirts etc yaani unakuwa unavaa official kuna wengine huwa tunasahau hata kuvaa casual ukiwa nyumbani au unataka kutoka weekend unawaza mara tatu tatu nini uvae, maana umeshazoea kuwa official. Hizi siku mbili ni za wewe…
Green Tea Benefits On Weight Loss With Samichepi
Samichepi ni binti wa miaka 19, sisi tumemjua kutoka mtandao wa instagram ambapo ana wafuasi 105,000/- mpaka sasa, kwa mtu wa kawaida kuwa na followers laki na kuendelea kwa kufanya biashara tu ni jambo kubwa. Samichepi alianza na biashara ya kuuza bidhaa za urembo ambazo…
Beauty Tip: Njia Rahisi Za Kuondoa Razor Burn Baada Ya Kunyoa
Wengi wetu tunapatwa na hili tatizo, baada ya kunyoa iwe ndevu, miguu, mikono au sehemu mbali mbali ili kupunguza nywele/ vinyweleo visivyo takikana,tunapatwa na vipele, muwasho au ngozi kuwa nyekundu hii hutokana na zile nywele au vinyweleo ambavyo vime jinyolongota sana. Hizi ni njia nne…
Fashion Tips: How To Look Stylish With These Underestimated Tips
Kupendeza kila siku kuna hitaji juhudi, kujua nini una pendeza ukivaa, uvaaje tunaweza kusema looking good is a work of art. Na hata kama umpenzi vipi wa fashion kuna siku ambazo unaamkia upande wa kushoto hujisikii kabisa ku dress up. Je unajua kwamba unaweza ukawa…
Suit Do & Dont’s
Leo tutazungumzia zile do and donβts katika uvaaji wa suti kwa wakaka. Tunajionea wengi wakivaa vazi hili ila wengi wao hukosea na kutofuata sharia zake. Suti si mchezo ati!!! Tuanze na fittings katika mwili. Hakikisha suti yako imekukaa ipasavyo. Mabegani pawe sawa pia urefu wa…
Sukari, Limao & Mafuta Ya Nazi Kwa Miguu Laini
Miguu ndio sehemu ambayo husahaulika sana, wengi wetu tukisha oga na kuipaka mafuta basi siku imeisha hatuijali kama sehemu nyingine za mwili lakini nani asiependa kuwa smooth mwili mzima? hamna si ndio? inawezekana tunaisahau kwa sababu product zake si nyingi kama viungo vingine lakini unaweza…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…