Namna Ya Kuongezea Rangi Katika Mtoko Wako (Men Vesrion) By Norris Danta Ford
Ni nadra sana kumkuta mwanaume amevaa mavazi ya rangi rangi kwa sababu tu wanahisi labda rangi rangi zimekaa kisichana lakini je kweli rangi zinausichana na uvulana? au ni kwa sababu mtoto wa kiume ana valishwa blue na wa kike anavaa pink basi tukalili maisha yetu…
Fashion Tips For Plus Size Women
Miaka ya nyuma watu wenye miile minene walikuwa wanapata sana shida kujua wavae nini na wavaeje, ilikuwa shida zaidi kwa maana nguo nyingi zilikuwa zina buniwa kwa ajili ya watu wenye miili midogo lakini kwa sasa dunia imebadilika na wao wanapata mavazi yao na hata…
Namna 5 Za Kuboresha Muonekano Wako (Men Version) – By Alex Costa
Kwa wavulana kuonekana upo fashionable ni rahisi mno kwa sababu fashion zao hazibadiliki mara kwa mara kama una viatu vizuri, suruali au kaptura nzuri na shirt au t-shirt nzuri basi ukivaa utaonekana umependeza lakini ni vipi uonekane stylish? ukiachana tu na kuvaa ulivyo vizoea? our…
TrendTuesday – Colored Shield Sunglasses
Juma lingine limeanza na ni mwanzo wa mwezi wa saba, siku zinakimbia right? lakini katika habari za mitido kuna igizo jipya kwa sasa kinacho trend katia dunia ya mitindo ni colored shield sunglasses (hizi ni miwani zenye rangi rangi). Tumeziona kwa watu maarufu wengi akiwepo…
Fashion Tips Zinazoweza Kukusaidia Unapo Kuwa Huna Cha Kuvaa
“Sina Cha Kuvaa” hili neno linatumika karibu na kila mwanamke ifikapo asubuhi anataka kwenda kazini,wakati wa mitoko nakadhalika, lakini cha kushagaza makabati huwa yamejaa nguo mbali mbali lakini bado huwa tunakosa cha kuvaa (confusing right?). Wengi huwa tunanua nguo nyingi kila siku kwa kudhani tu…
Weekend Outfit Ideas – Black skinny Jeans For Men
Sote tunajua weekends are for casual unless una mtoko usiku labda harusi au sherehe lakini kama ni mikutano na washkaji basi casual ndio mahala pake, huitaji suit & tie unacho hitaji ni simple outfits tu, na leo Afroswagga tukishirikiana na storm.tv tunakuletea ideas za kuvaa…
Nini Kipo Katika Handbag Yako?
Siku chache zilizo pita tuliuliza hili swali katika kurasa yetu ya Instagram ambapo watu wengi walijitokeza kujibu, kwanini tuliuliza? kwasababu sikuhizi tunawaona wadada/wamama wanabeba handbag kubwa na nzito mno hii ilitufnye tuwaze nini kipo katika handbags zao na amini usiamini huwa kuna vitu vingi mno…
FunFact -Tambua Namna Za Kupata Jeans Inayo Kutosha Vizuri.
Linapo kuja swala la kununua na kuzijali jeans ina weza ikawa very tricky, mara nyingi hutokea unanunua suruali,shirt au coat la jeans ukilifua basi huwa zina tabia ya kunywea/ au kuwa ndogo hii inatokana na kwamba zinapo tengenezwa kwenye kampuni moja kwa moja hupelekwa sokoni…
Namna Ya Kuangalia Mwili Wako Katika Mwezi Wa Ramadhani
Kuna watu wengi huwa wana sema nitapunguza ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhani wakidhani kule kufunga kwa masaa kadhaa kuta punguza miili yao lakini kumbe una weza ukafunga na usipungue au ukazidi kunenepa yes una weza kushangaa au kudhani ni uongo lakini Mwezi Mtukufu ndio mwezi…
5 Must Own Hijab’s
Hijab zina weza kuharibu au kupendezesha Mavazi yako kama itavaliwa vibaya au ipasavyo, wengi huwa tunajiuliza zile basic hijab za kuwa nazo kwa sababu ki ukweli kuna kila aina na kila rangi lakini zipi ndizo muhimu hasa? kwa kulitambua hilo tume amua kuwaletea hapa ubaoni…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…