Ways To Refresh Your Wardrobe This Ramadan
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani una kuja na ina semekana itakuwa tarehe 27, ina wezekana ulikua busy hukuweza ku-refresh kabati lako kwa ajili ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani basi sisi tuna kupa tips chache za nini kibaki, nini kiondolewe katika kabati lako. Replace Min- Skirt/Dress…
Crystal Rose Quartz Nail Trend
katika ulimwengu wa urembo wa kucha inaonekana kuna ingizo jipya last time we checked metallic nails ndio zilikua zina trend lakini kwa sasa Crystal Rose Quartz ndio ipo kwenye chat, well kwa wadada wanao penda rangi zilizo tulia katika kucha hii ina wafaa sana Rose…
DELISH & FAT BURN DRINKS
Katika harakati za kupunguza uzito huwa tuna kumbana na vitu au ushauri mbalimbali vingine ni vichungu vinakufanya uamue kuachana na safari yako lakini kumbe kuna vinywaji vitamu tu lakini pia vinaweza kukuaidi kupungua uzito, Green tea – Green tea ina sifika sana katika kupunguza uzito,…
JINSI YA KUONEKANA FABULOUS BILA YA KUVAA HEELS
Kuna watu wawili humu Duniani wanao weza kuvaa heels hata wakiwa wanaenda sokoni na wale ambao hawawezi kuvaa heels hata wakiwa wanaenda harusi, kiukweli binadamu hatufanani lakini haimaanishi kama huwezi kuvaa heels basi huwezi kupendeza. Unaweza kuvaa flats na bado ukapendeza kuliko mwenye heels japo…
TIPS ZA KUWA INSTAGRAM MODEL
Instagram models ni wale wanamitindo ambao wana tangaza bidhaa ma kampuni kupitia mitandao mostly mtandao unao tamba kwa kufanya hivyo kwa sasa ni Instagram huko kwa wenzetu wadada na wakaka wengi ambao wana penda kuwa wanamitindo wana tumia fursa hii kufanya kazi zao hapa Tanzania…
HOW TO SAVE ON A NATURAL HAIR – @NATURALHAIRTANZANIA
Kama una natural hair hii ni kwa ajili yako, jinsi ya ku save hela kwa kutengeneza hii homemade leave in conditioner ambayo inaweza kukaa kwa wiki mbili tu lakini ni very useful na rahisi kutengeneza Utahitaji ●bamia 5 ●Grapseed oil (oil of ur choice) ●Vikombe…
Tips Za Kupungua Uzito Ndani Ya Siku 7 – Khloe Kardashian
Bado the interment is not over Khloe Kardashian Revenge body kila mtu ana taka kujua ame fanya nini kupunguza uzito alio kuwa nao na kuwa alivyo sasa, wengine wakisema Khloe ame fanya surgery kupata ule mwili Khloe akameona isiwe shida kaamua kutoa Tips za jinsi…
FASHION DO & DONT’S #1
Katika mitindo kuna vitu vingi ambavyo huwa tuna fanya bila kukusudia lakini kumbe kipo wrong, Fashion ni pana sana katika dunia kila mtu ana jicho lake la jinsi anavyo ona kitu ndio maana wengi wetu tuna taste tofauti linapo kuja swala la mitindo kuna mtu…
DONDOO ZA MAVAZI KATIKA JOB INTERVIEW
Linapo kuja swala la interview ndio lile neno la “dress to impress” linapo kuja, japo kuwa vyeti vyako na elimu yako vina mata katika job interview lakini pia muonekano muhimu, una weza kuwa una Degree, Masters, PHD lakini kila ukienda kwenye job interview una kosa…
NAMNA YA KURUDISHA WEAVING KATIKA HALI YA UPYA
We all have lile weaving ambalo ni la muda mrefu, lime kakamaa, lime kauka, lime kuwa na vifundo ila tunalipenda na we still keep it tulionege tu labda siku moja tuta pata msaada wa nini cha kufanya kulirudisha katika hali yake ya kawaida na afro…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…