SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo

FASHION DO & DONT’S #1 

Katika mitindo kuna vitu vingi ambavyo huwa tuna fanya bila kukusudia lakini kumbe kipo wrong, Fashion ni pana sana katika dunia kila mtu ana jicho lake la jinsi anavyo ona kitu ndio maana wengi wetu tuna taste tofauti linapo kuja swala la mitindo kuna mtu…

Dondoo

DONDOO ZA MAVAZI KATIKA JOB INTERVIEW 

Linapo kuja swala la interview ndio lile neno la “dress to impress” linapo kuja, japo kuwa vyeti vyako na elimu yako vina mata katika job interview lakini pia muonekano muhimu, una weza kuwa una Degree, Masters, PHD lakini kila ukienda kwenye job interview una kosa…

Dondoo

PLUS -FABULOUS 

Ana jiita @original_mangu kwenye mitandao ya kijamii, ni plus size woman ambae ana penda mitindo pia ana uza nguo, she is our plus Fabulous. Mangu yeye ana break all the boundaries linapo kuja swala la yeye kuvaa na kupendeza ina julikana kuwa plus size na…

Dondoo

FASHION STAPLES KWA AJILI YA JOB INTERVIEWS 

Kuvaa formal clothes na polished pumps (viatu) inasemekana ina weza ku boost confidence na kuwafanya colleagues kukuona una jielewa na msomi, ina semekana ina wachukua wanao kuinterview sekunde 30 kujua waku ajili au lah kutokana na muonekano wako, kwaio ni vyema ukajitaidi kujua nini uvae…

Dondoo

NAMNA YA KUONDOA UNJANO KWENYE KUCHA 

Hakuna kitu kina tia kinyaa kama kucha chafu, ina wezekana ikawa sio uchafu wa kutoka as kuchukua kijiti na kutoa hii inakuwa kama stain (doa) kwamba haitoki huwa ina tokana na kupaka rangi mara kwa mara, magonjwa au tu bad life style, hizi ni njia…

Dondoo

UCHAGUZI WA MANUKATO AMA PERFUMES KWA WAKAKA 

Hii yaweza kuwa imewakumba wengi ambapo waweza kutana na mtu katika usafiri yaani daladala ama kwenye sherehe ama tukio lolote na kushangwaza na harufu ya manukato atumiayo maana baadhi yetu tumekuwa ni wanunuzi wa perfumes zisizoeleweka na kuwa na harufu kali sana hata kuwakosesha raha…