SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo

WAKAKA, JINSI YA KUMAINTAIN KABATI LAKO 2017 

  Well mwaka 2017 umeanza na kwa wakaka huwa ni shida sana kuwa na kabati lenye nguo na accessories sahihi hivyo kujikuta mtu kuvaa nguo zisizovutiana pia kauka nikuvae kama ilivyozoeleka kwa baadhi ya wanaume. Ila sasa leo tunakuletea zile essentials ambazo wanaume ama brothermens…

Dondoo

NAMNA ZA KUVAA HAUTE COUTURE HERENI 

Haute Couture Jewelry ni yale mapambo ambayo hubuniwa na wabunifu kwa ubunifu wa hali ya juu, si lazima ziwe designer hearings ndio ziwe haute hapana zina weza zikawa za kawaida tu lakini ni kubwa vya kutosha ku make a statement. Kama unazo na zime kaa…

Dondoo

VITU VITAKAVYO ISHA TRENDY 2017 

new year New Trends, New year New Designings na mwaka ujao hivi ndivyo vinavyo onekana kuisha trendy na kuwa replaced na toleo jipya la kitu kingine KWA HERI CHOKERS Chokers zime trendy sana 2016 ni muda wa kusema goodbye to them na kuwa creative, vaa…

Dondoo

#STYLETIP1 – CHRISTMAS PARTY OUTFITS 

Siku chache zime bakia kabla ya Christmas na neno Christmas tunajua nini kina fuata ni holiday season, na ikisha kuwa holiday watu ni lazima tu party kwa kulifikiria hilo sisi yours truly afroswagga tukaamua kuwaletea outfit ideas ambazo una weza katika party utakazo alikwa msimu…

Dondoo

VITU VITATU VYA KUFANYA WEEKEND HII 

Finally weekend hii hapa kwa wengine wame choka na ku party usiku mzima lakini wale wenzetu na sisi ambao weekend ikifika tuna fikiria ku seat back, ku relax na kuto kufikiria chochote zaidi ya kula na kuangalia movies. lakini kuna wengine hawa tuna waita stylish…

Dondoo

ONEKANA STYLISH BILA YA KUTUMIA GHARAMA KUBWA 

Wengi wetu hudhani kuonekana stylish ni kununua au kuvaa vitu vya gharama kubwa mara nyingi tumesha wahi kukutana na msemo huu “ana hela kwanini asipendeze” au “siwezi kupendeza vile nina hela gani mpaka nipendeze”? tuna weza kusema your so wrong by saying that. Kupendeza au…