STYLISH ACCESSORIES KWA WANAUME
Kwa wanawake wana mapambo mbali mbali ya kuvaa, ukianzia vibanio vya nywele, hereni, mikufu, pete nakadhalika ila kwa kaka zetu ni tofauti kidogo wana vitu vichache mno vya kuvaa kama mapambo, kama una taka kuwa mwanaume stylish haya ndio mapambo (accessories) ambazo ni lazima uwe…
NAMNA RAHISI ZA KUSAFISHA MAKE UP BRUSH ZAKO
Kusafisha Make up brushes zako mara kwa mara ni kitu cha muhimu sana kukifanya, hii ita kukwepesha na matatizo ya bacteria pia itakuwezesha kupaka make up yako vizuri, as ikiwa chafu bado una weza kupaka ikazidi au ika sababisha mikunjo mikunjo. Hizi ni namna chache…
TIBA ZA ASILI ZA KUONDOA M’BA
Hakuna kitu kina tia aibu na kuweza kukudhalilisha kama m’ba kwa maana kuzuia kujikuna ni mara chache sana kwa jinsi unavyo washa, sasa imagine upo sehemu za watu halafu unaanza kukuwasha. Na kwa fikra zetu waafrika huwa tuna dhani m’ba una sababishwa na uchafu basi…
jinsi ya kupunguza/kuondoa cellulites (mabunyebunye)
Tatizo hili huwapata wamama au wabab wengi wenye miili minene, japo hata wembamba pia huwapata lakini ni kumi kwa mmoja. Wengi hawapendi mabunye haya na hizi ni namna chache za jinsi ya kuziondoa/kupunguza cellulites 1)Unaweza kuzipunguza sana kwa mazoezi ya mapaja, miguu na makalio kama…
7 TIPS ZA JINSI YA KU APPLY NA KUVAA MATTE LIPSTICK
Matte Lipstick ni hizi lipstick za sasa zile kavu zisizo na mafuta, ni nzuri sana kwa sababu zina kaa muda mrefu na hazikuchafui chafui. Zina pendwa sana hasa kwa wale ambao hawawezi kukaa muda mrefu bila kuramba midomo, lakini zina shida yake hasa pale ambao…
IDEAS RAHISI ZA JINSI YA KUIFADHI JEWELRY ZAKO
Watu wengi hupata shida katika kuhifadhi urembo wao (hereni,mikufu,bangili,pete nk), una weza kukiona kimoja na kingine usikione. Mabingwa wa kutengeneza Jewerly kwa mikono waitwao Manyatta_101 wame tupa ideas rahisi zinazo weza kusaidia kuhifadhi urembo wako IDEA NO. 1: unaweza kutumia mnyororo au mkufu kuifadhia hereni…
STEP 3 RAHISI ZA KUTENGENEZA CHOKER
Choker ni kitu kilichopo kwenye trend kwa sasa, ni mikufu fulani hivi inayo bana ambayo ina weza ikawa ya dhahabu, almasi, leather, nguo na hata lace au uzi. Ni wewe tu na chaguo lako. Beauty & fashion blogger pia ni vlogger bi Shirley B. Eniang…
NAMNA YA KU SWITCH OUTFIT MCHANA KUWA USIKU
Inawezekana una fanya kazi hadi weekend, na una shindwa uvae nini ili uweze kwenda kazini na pia ukitoka kazini uende kwenye mitoko yako kama kawaida bila kuonekana official. Hii huwaga ngumu sana lakini leo tuna kuonyesha namna ambavyo una weza kuifanya outfit iwe multi-task shift…
NAMNA 5 ZA KUPUNGUZA UZITO BILA KUTUMIA NGUVU
Watu wengi wamekuwa wakitumia nguvu katika kupunguza uzito “miili”, wengine hufikia hatua ya kwenda kufanyiwa operation ya kupunguza manyama au kutumia dawa za kupunguza uzito. Japo pia ni njia zinazo saidia kupunguza uzito lakini zina madhara yake pia hupati nafasi ya kujua ni mwili upi…
NAMNA YA KUTUNZA NYWELE ZAKO
Mwezi Ramadhani watu wengi hufunga viremba ili kutokuonyesha nywele kama ambavo ina aminika kwamba kwa mwanamke kuonyesha nywele katika kipindi hiki ni kuto kujistiri, kukaa na kiremba muda mrefu kuna weza kuathiri nywele zako kama kukatika au kukauka kwa nywele, pia si tu kutokana na…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…