Wasafi Festival Looks In Songea
Mpaka sasa wasafi festival imeshapita sehemu tatu ambapo walianza na Mtwara, wakaenda Ruangwa na week hii tumewaona wakiwa Songea, na tupo hapa kuongelea looks za recently ambayo ni Songea, utajiuliza kwanini tumeruka Ruangwa, sababu ni moja tu hakukuwa na looks za kuziongelea sana. Songea wasanii…
Reviewing Enjoy Music Video By Jux ft Diamond Platnumz
Kama tunavyojua kuwa juma jux na diamond platnumz kwenye swala la kutoa videos nzuri ni swala la kawaida sana. Pia usisahau kwa miaka mingi juma jux amekuwa moja kati ya wasanii wa kizazi kipya ambao wanashikilia crown katika swala la mitindo na kila siku anazidi…
How Wema Sepetu & Zuchu Styled The Trench Coats In Hot Weather
Trench coats zilibuniwa kwa ajili ya kipindi cha baridi, kwa wale ambao bado hamjatupata tunaongelea nini trench coat’s ni zile coat ndefu zinazofika magotini. Coats hizi mara nyingi zinavaliwa kipindi cha baridi na fabric ambazo hutumika kutengenezea coats hizi ni nzito mno. Kadri siku ambavyo…
Our Two Cents On Yanga Outfit’s At White House Dinner
Kwanza kabisa tuanze na hongera kwa Yanga kwa kututoa kimasomaso baada ya miaka mingi kupita, kama Nchi tuko proud na hii achievement. Turudi kwenye vazi la Yanga huko white house walipopata mlo wa usiku na Rais, Samia Suluhu. Yanga walifika wakiwa wamevalia nguo zao za…
Zari The Boss Lady Kafa Na Fashion Katika Hili Vazi La Airport
Zari alitembelea Tanzania weekend iliyopita ambapo alikuwa ana fanya appearance kwenye party huko mjini Dar Es Salaam, well tuliona alienda kupokelewa airport na kilicho tuvuta kwake ni huu muonekano wake yaani mavazi aliyoyavaa. Sote tunakubaliana kwamba ukiwa safarini unatakiwa kuvaa mavazi ambayo yapo comfortable ikiwa…
Spotted Nandy With Fake YSL ICARE Maxi Bag
Nandy amekuwa moja kati ya wasanii ambao style zake zimetoka sehemu moja kwenda nyingine, tunaona namna ambavyo ana keep up na Dunia kwenye upande wa mavazi amekuwa akijitahidi sana kuonekana stylish, tunapenda hilo kutoka kwake. Week iliyopita Nandy alikuwa na show Mbeya na kama kawaida…
Harmonize Spotted With Fake Nike Boxer
Hakuna kitu kina scream cheap kama fake designers iwe kwa mtu maarufu au mtu wa kawaida, unaweza kusema Afro tufanyaje kama hatuwezi ku afford hivi vitu na tunavipenda, the best unaweza kufanya ni kununua replica au nunua kitu kinachoendana na cha designer ila kisiwe na…
Halima Yahya Bonnet Zina Mahali Pake
Kiukweli bonnet ni msaada mkubwa sana, hasa kwenye mizunguko midogo midogo kama hujasuka au nywele haziko sawa unaweza kuivaa tu ukatoka. Lakini bonnets hazifai kwenye mahali ambapo ni event ya maana, last week tumemuona muigizaji Halima Yahya wengi tunamjua kama Davina akiwa Dodoma, Halima alionekana…
Idris Sultan MisMatched Shoes Saga
Muigizaji, mchekeshaji, radio host na mshindi wa Big Brother Africa-Hotshots, 2014 Idris Sultan amekuwa gumzo huko mitandaoni kutokana na uchaguzi wake wa viatu katika hafla ya Uwekezaji Day 2023 amabyo iliandaliwa na bank ya CRDB. Idris alikuwa moja kati ya waalikwa katika hafla hio na…
Uche Ogbodo’s What I Ordered Vs What I Received Situation
Muigizaji kutoka Nigeria Uche Ogbodo ambae anasema hakuwahi kuamini kuhusu what i ordered vs what i received mpaka ambapo hii situation ilipomtokea. Uche anasema alinunua material mwezi mmoja kabla na fundi aliahidi atapata kile ambacho amekitaka na badala yake akapokea kitu sicho. Uche alipost picture…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…