Our Two Cents On Yanga Outfit’s At White House Dinner
Kwanza kabisa tuanze na hongera kwa Yanga kwa kututoa kimasomaso baada ya miaka mingi kupita, kama Nchi tuko proud na hii achievement. Turudi kwenye vazi la Yanga huko white house walipopata mlo wa usiku na Rais, Samia Suluhu. Yanga walifika wakiwa wamevalia nguo zao za…
Uche Ogbodo’s What I Ordered Vs What I Received Situation
Muigizaji kutoka Nigeria Uche Ogbodo ambae anasema hakuwahi kuamini kuhusu what i ordered vs what i received mpaka ambapo hii situation ilipomtokea. Uche anasema alinunua material mwezi mmoja kabla na fundi aliahidi atapata kile ambacho amekitaka na badala yake akapokea kitu sicho. Uche alipost picture…
Stockings Zilivyoharibu Shughuli Ya Yemi Alade
Moja ya mavazi ambayo ukivaa unatakiwa kuwa mtulivu na mwenye heshima ni stockings huwa ni rahisi sana kuchanika na kuharibu muonekano wako mzima. Hali hii imetokea mwanamuziku kutoka Nigeria, Yemi Alede ambapo alivaa vazi lake la kitenge akaamua avalie na stockings ndani, lakini kama ilivyoada…
Mkanda Ulivyoharibu Shughuli Ya Mimi Mars
Mwanamuziki Mimi Mars ambae kwasasa yupo kwenye media tour kwaajili ya wimbo wake mpya wa Lala ( this song is fiya though) ameonekana kupatwa na dhambi za fashion baada ya belt aliyoivaa kuharibika kidogo akiwa shughulini tunasema ajali kazini. Mimi Mars ambae alivaa all white…
Mimi Mars Atenda Dhambi Hii Ya Fashion
Mwanamuziki na Muigizaji Mimi Mars ameonekana katika short clip ambayo anaongelea season mpya ya Tamthilia ya Jua Kali ambayo na yeye anaigiza humo ndani, Katika clip hio Mimi Mars amevalia one shoulder sequin dress ambayo amemalizia na makeup nzuri na nywele nzuri. Lakini amefanya dhambi…
Reviewing Diamond Platnum’z First Of All Ep Cover Outfit
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametoa EP yake iitwayo first of all, wakati wengine wakiwa wanaendelea kuchambua nyimbo zilizopo sisi tumeona tugeukie upande unaotuhusu nao ni wa mavazi ambayo amevaa katika cover ya Ep hiyo, well get all the scoop and juice kwa kuangalia review yetu hapo…
Quen Linna Totoo VS Jojo Gray
Another Fashion Battle Field, hii segment tunawaletea Fashionista’s mbalimbali wa kiume na wa-kike ambao wamevalia mavazi yanayofanana na mtachagua nani ame-style vazi hilo vizuri zaidi. Week hii tunae Fashionista Jojo Gray na wifi yetu kutoka kwa mwanamuziki Dogo Janja, Quen Linna Totoo wakiwa wamevalia hii…
Kim Kardashian Na Gloves Beach
Seems like Kim K ametu-prove kwamba ni wakati wa kusema bye bye kwa trend ya gloves, its been too much kila mtu kuvaa gloves mpaka sehemu zisizotakiwa kuvaliwa gloves. Pamoja na kuaminika na kuheshimika katika ulimwengu wa mitindo jana mwanadada huyu ametuacha mdomo wazi kwa…
Hamisa Mobetto Birthday Photoshoot Outfit Review
Hamisa Mobetto ameongeza mwaka mwingine tena & tunaweza kusema a girl is aging with grace. Hamisa alikuwa na 3 Birthday Photoshoots, na kama ilivyokuwa kawaida huwa tunaangalia mavazi na kama ni Yay or Nay Look ya kwanza ilikuwa ni hii sexy look, a simple dress…
Je Tunavuka Mipaka Kama Wedding Guest’s?
Waswahili husema “Mgema akisifiwa tembo hulitia maji”, tumekuwa na tabia ya kusifia wedding guest wanaopendeza na kuwa watofauti katika harusi za watu, tunadhani sifa hizi nyingi zimesababisha wengine kuzidisha kiwango na kupitiliza mwishoe kuharibu. Hivi karibuni kulikuwa na harusi ya hair stylist Aristotee ambapo baadhi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…