SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Fashion Cop, Mitindo

FASHIONISTA WA WIKI 

Ikiwa wiki ya Mitindo ndio inaishia tumejaribu kuangalia Tanzania ni mtu maarufu gani alikua na muamko, ambao tunaweza kusema ameendana na hii wiki. Tume mpata aliye kuwa Miss Tanzania Bi. Hapiness Magese amejaribu kutuonyesha Mavazi yake aliyo ya vaa kwa wiki nzima. Happy huwa hakosei…

Fashion Cop, Mitindo

DIDA VS HUSNA 

Dida Shaibu na Husna Maulidy wameonekana wakivaa jumpsuit zinazo fanana kasoro ni kwamba Dida alivaa jumpsuit hio ikiwa na rangi nyekundu akiwa kavalia na viatu vyeusi wakati Husna aliivaa ya buluu na viatu vyekundu Je nani kaivaa vizuri zaidi?   Dida Shaibu Husna Maulidy Unaweza…

Fashion Cop, Mitindo

NANI ALIVAA VIZURI ZAIDI? 

Garcelle Beauvais amehudhuria sherehe za baada ya kufanyika Tuzo za VMA 2015 akiwa amevalia gauni ambalo Jennifer Lopez alilivaa mwezi wa tatu mwaka huu akiwa ameenda kupata chakula cha usiku STK. Gauni hilo lina uza $455 ambazo ni sawa na pesa zetu za Kitanzania Tzs…

Fashion Cop, Mitindo

NANI ALIVAA VIZURI ZAIDI? 

Kama haitoshi kushirikiana kwa Penzi lao kwa Kanye West imeonekana Kim Kardashian na Amber Rose wana radha sawa katika mitindo pia. mwezi wa 11, 2014 Kim Kardashian (34) alionekana kuvaa gauni la Pink lililo buniwa na latex Atsuko Kudo, lakini mwaka huu mwanadada Amber Rose…