FASHIONISTA WA WIKI
Ikiwa wiki ya Mitindo ndio inaishia tumejaribu kuangalia Tanzania ni mtu maarufu gani alikua na muamko, ambao tunaweza kusema ameendana na hii wiki. Tume mpata aliye kuwa Miss Tanzania Bi. Hapiness Magese amejaribu kutuonyesha Mavazi yake aliyo ya vaa kwa wiki nzima. Happy huwa hakosei…
KARRUECHE TRAN HATAKI MCHEZO KATIKA NYFW
Karrueche Tran wengi tumemjua kupitia Chriss Brown lakini ni Mwanamitindo na pia ni Muigizaji, katika wiki hii ya Fashioooni Karrueche anaonekana kuifurahia na kuipenda zaidi. Kwa maana ana tupa maelezo ya kila anacho kivaa na ana hakikisha hakosei. Hii ni baadhi ya mitoko yake [URIS…
YALIYOMO KATIKA EMPIRE SEASON 2
Wiki moja tu imebaki ile Tamthilia inayo pendwa zaidi na kusubiriwa kwa hamu ianze, tukupe tu vipande vichache vilivyomo nani kavaa nini na kavalishwa na nani? [URIS id=1551]
FAHAD VS DIAMOND NANI KAIVAA BOWRA ZAIDI
Fahad Fuad ni mwanamitindo kutoka Tanzania wakati Diamond Platnumz ni mwanamuziki lakini inaonekana wana radha sawa katika mavazi, Diamond na Fahad wameoneka wakivaa suti sare sare mwaka huu mwanzoni. wakati Diamond alivaa suti hio kwa shati jeupe na urembo kama cheni na pete akitupia na…
DIDA VS HUSNA
Dida Shaibu na Husna Maulidy wameonekana wakivaa jumpsuit zinazo fanana kasoro ni kwamba Dida alivaa jumpsuit hio ikiwa na rangi nyekundu akiwa kavalia na viatu vyeusi wakati Husna aliivaa ya buluu na viatu vyekundu Je nani kaivaa vizuri zaidi? Dida Shaibu Husna Maulidy Unaweza…
ZILIZO TUVUTIA WIKI HII
Ben Pol Jacqueline Wolper Husna Maulid Agness Masogange Cyrill Kamikaze Pv Cambo
NANI ALIVAA VIZURI ZAIDI?
Garcelle Beauvais amehudhuria sherehe za baada ya kufanyika Tuzo za VMA 2015 akiwa amevalia gauni ambalo Jennifer Lopez alilivaa mwezi wa tatu mwaka huu akiwa ameenda kupata chakula cha usiku STK. Gauni hilo lina uza $455 ambazo ni sawa na pesa zetu za Kitanzania Tzs…
3 (TATU) BORA YA WALIO HARIBU MTV MUSIC AWARDS
1) Miley Cyrus Miley alikua MC (msema chochote) katika tuzo hizo mategemeo yetu yalikua ni yeye kupendeza na kuvaa ki heshima zaidi lakini ilikua kinyume na matarajio yetu sikuona vazi hata moja lenye afadhali kutoka kwake 2)Jeremy Scotty Mbunifu kutoka MOSCHINO mmh sijui aliwaza nini…
NANI ALIVAA VIZURI ZAIDI?
Kama haitoshi kushirikiana kwa Penzi lao kwa Kanye West imeonekana Kim Kardashian na Amber Rose wana radha sawa katika mitindo pia. mwezi wa 11, 2014 Kim Kardashian (34) alionekana kuvaa gauni la Pink lililo buniwa na latex Atsuko Kudo, lakini mwaka huu mwanadada Amber Rose…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…