SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Cop

The Best And Worse Looks From Last Week 

Kila week huwa tunawaletea weekly fashion highlights na ikiwa leo jumatatu inamaanisha ni siku ya kupata nani alivaa nini na nani alipendeza na yupi hakufikia viwango, well tuanze na wale waliofanya vizuri. Weekend ilikuwa na harusi na hii ilikuwa sherehe ya dada yake mwanamuziki Nandy…

Fashion Cop

Red Carpet Worthy Looks From Last Week 

Okay ni jumatatu nyingine tena na kama kawaida huwa tunawaletea highlights za week iliyopita, week hii tumeenda global na kuona wenzetu wamefanya nini huko Nchi nyingine. Kulikuwa na events mbalimbali ambapo tumetoa looks zilizotuvutia. Mbunifu na fashionista kutoka Ghana Nana Akua Addo won our hearts…

Fashion Cop

The Slayed And Played Looks From Last Week 

Committee ya kujudge weekly looks is back, hii segment tunaangalia looks mbalimbali kutoka kwa watu maarufu katika week iliyoisha. Week hii tuna Hamisa Mobbeto, Zarina Hassan, Wema Sepetu, Lavidoz, Joujou Nyaki pamoja na Gabo Gozimba. Katika hawa kuna ambao tumependa mionekano yao na wale ambao…

Fashion Cop

When Copy Catting Gone Wrong 

Kwasasa wanaita being Inspired na sio ku-copy, well kuwa inspired inaruhusiwa lakini ukiwa inspired tunategemea ulete kitu ambacho kimezidi ubunifu wa awali kama sio kubadilika kabisa. Inapotokea pale mbunifu unakuwa inspired na kukosea au kwenda tofauti na kile ambacho umekuwa inspired nacho unatupa wengine maswali…