SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Fashion Cop, Mitindo

AMFVR – Umeniacha By Nuru The Light 

Tulifanya interview na Nuru the light kuhusu kurudi kwake katika mitindo, style zake za fashion lakini pia alituambia wimbo wake mpya ameshatoa video na tukamsupport kwa kuungalia youtube oh well oh well kama Afroswagga tukasema twende tukaiangalie lakini pia tuifanyie review ya fashion zilizomo mule…

Fashion Cop, Mitindo

Fiesta 2017 Fashion Review 

Jumamosi Fiesta ilifikia kilele chake ambapo wasanii mbalimbali kutoka Tanzania wali perform na hii ilikua only local artist kutoka Tanzania hakuna msanii mgeni aliye letwa, nice tuna appreciate vya kwetu. As usual sisi jicho letu lilikua nani kavaa nini na kapendeza au lah, sio wengi…

Fashion Cop, Mitindo

AMVFR-Mkimbie By Hemedy Phd 

Anaitwa Hemedy Suleiman wengi tunamjua kama Hemedy Phd au Papi, ni mwanamuziki lakini pia ni mcheza filamu, tulianza kumjua Hemedy kupitia shindano la Tusker Project Fame ambapo alikuwa moja ya washiriki pendwa katika jumba hilo. Hemedy ukiachana na kuimba na uchezaji filamu ni moja kati…