SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Cop

AMFVR – Umeniacha By Nuru The Light 

Tulifanya interview na Nuru the light kuhusu kurudi kwake katika mitindo, style zake za fashion lakini pia alituambia wimbo wake mpya ameshatoa video na tukamsupport kwa kuungalia youtube oh well oh well kama Afroswagga tukasema twende tukaiangalie lakini pia tuifanyie review ya fashion zilizomo mule…

Fashion Cop

Fiesta 2017 Fashion Review 

Jumamosi Fiesta ilifikia kilele chake ambapo wasanii mbalimbali kutoka Tanzania wali perform na hii ilikua only local artist kutoka Tanzania hakuna msanii mgeni aliye letwa, nice tuna appreciate vya kwetu. As usual sisi jicho letu lilikua nani kavaa nini na kapendeza au lah, sio wengi…