SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Chanel’s haute couture Paris show 

Okay Chanel ame prove hawapo hapa tu play, katika latest show yake ya Haute couture, Chanel wame bring everything we need this year. Kuanzia skirt suit (in which tupo sure zitakua a hit mwaka huu) , party tuxedo,sequins with feathers, sequin trousers under sequin dresses…

Afro Fashion

YALIYOJIRI FASHION FOR PEACE 

Kama na wewe ulikuwa moja wa watu walioudhuria katika Onesho la mitindo “Fashion For Peace” lililofanyika katika ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga Jijini Dar es salaam, basi kwa hakika utakuwa umefurahi vya kutosha kwa jinsi onesho zima lilivyoandaliwa na kutekelezwa kwa ujumla kuanzia…

Mitindo

BURBERRY KATIKA LFW (LONDON FASHION WEEK) 

Ikiwa Fashion Week Ime hamia London sasa hivi, hizi ndizo nguo zilizo onywesha na kampuni ya Burberry, katika show hio kulikua na watu maarufu wengi kama Cara Delevingne, Sienna Miller, Kate Moss, Sam Smith, Maggie Gyllenhaal, Jourdan Dunn, Naomi Campbell, na Mario Testino lakini hao ni baadhi tu….

Mitindo

SERENA WILLIAMS NA UBUNIFU 

Ikiwa ni siku chache tu toka ashindwe mchezo wake wa Tennis, Serena Williams Ametuthibitishia kuwa ukianguka haimaanishi ulale bali nyanyuka na jitahidi usianguke tena. Ni baada ya kuonyesha umahiri wake katika kubuni nguo. Ndio! ikiwa ni wiki ya mitindo Newyork Serena hakusita kutuonyesha nini alicho…