SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

SASA NI ZAMU YA MAPOCHI MADOGO 

Baada ya mapochi makubwa kukaa kileleni kwa muda mrefu sasa ime fika wakati wa kubadilika na kubeba mapochi madogo, Hii ni wiki ya mitindo huko NewYork na katika wiki hii ndo unapata kujua nini kipo kwenye kilele kwa sasa, katika pita pita zetu tumegundua wabunifu…

Mitindo

VICTORIA BECKHAM SHOW 

Katika miaka ya tisini alijulikana kama mwanamuziki  kutoka  katika kundi la Spice Gils, lakini baada ya kundi ilo kusambaratika Victoria Beckham alijiingiza katika ulimwengu wa mitindo na hizi ni baadhi ya nguo alizo buni katika show yake ya hivi karibuni [URIS id=1398]

Habari

GIVENCHY SHOW KATIKA NEWYORK FASHION WEEK 

Nicki Minaj (32) tumemzoea ana penda kuvaa nguo za maungo wazi lakini hivi karibuni alibadilisha muonekano wake na kutaka kuitwa Onika Tanya Maraj ambalo ni jina lake la kuzaliwa nalo, bado hatujajua sababu maalumu labda ana kua au kabadilishwa na mpenzi wake wa sasa lakini…

Mitindo

WAMEZITENDEA HAKI AU LAH? 

Rihanna ametambulisha manukato yake mapya RiRi akiwa amevalia kigauni cha pink ambacho kime buniwa na Vivienne Westwood ambacho kilionekana kwenye Runway ya Fall 2015 iliyo pewa jina  Red Label Fall 2015. Je amekitendea haki kivazi hiki? Selena Gomez nae hakua nyuma katika kutuonyesha umahiri wake…