Giuseppe Zanotti Watangaza Kurudisha Cruel Iconic Heels
Remember this ?? Hiki kiatu ilituletea shida na copy za kichina zikawa kibao mtaani . Waliofanikowa kuvaa OG wabaki na heshima yao maswali kibao lakini kiukweli kwa Tanzania hii labda wasio na majina ambao hawajulikani ila ma star wetu wengi walitred kwa kuvaa copy za…
Halima Kopwe Aibuka Kidedea Miss Tanzania 2022
Mei 20, 2022 Tanzania imepata mrembo wa Taifa ambae atakwenda kutuwakilisha katika kilele cha kumtafuta Miss Words. Halima Kopwe toka Mtwara ametwaa taji hilo la Miss Tanzania. Halima ambae anamiaka 23, amejishindia gari dogo aina ya Benzi lenye thamani ya shilingi milioni 30 na fedha…
Nancy E Isime Flaunting Her Dollar Nails
Dollar On Her Nails, Dollar On Her Nails In Riri’s Voice, TV host Nancy E Isime ambae ametimiza miaka 30 hivi karibuni ametudhihilishia kwamba yeye ni that rich auntie kwa kutumia $20 kama urembo kwenye kucha zake, $20 ni sawa na tsh 46,280. Nancy si…
Rihanna Arudia Kuvaa Jacket Hili Baada Ya Miaka 7
Major congratulations to Bad Gal Riri na mpenziwe Asap Rocky ambao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza, As usual Rihanna never disappoints amekuwa aki-slay maternity looks zake back to back kuanzia pregnancy revealing photoshoot, to street style & red carpets. Lakini ambalo tumeona hivi karibuni…
Hamisa Mobetto Na Mahusiano Mapya, Wiz Khid Ayo Kwenye Cover Ya Vogue, Zari Under Wear Saga + More
Kama ilivyoada huwa tunawaletea habari zilizoshika headlines kwa upande wa fashion kwa week nzima, week hii tumeona habari nne ambazo zimeshika vichwa vya habari vingi. Mwanamitindo na fashion entrepreneur Hamisa Mobetto ameonekana kuwa na mahusiano mapya, mwanadada huyu ambae alionekana akiwa Dubai na Mwanamuziki Ricky…
Flaviana Matata Afunguka Kuhusu Kuvunjika Kwa Ndoa Yake, Jackie Cliff Arudi Uraiani, Budget Ya Harusi Ya Aristoste + More
Week nyingine imeisha na huwatunajua ni lazima kuwe na jambo la kuongelea, well week hii zilizoonekana kushika masikio ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata kufunguka kuvunjika kwa ndoa yake. Flaviana Matata alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu…
Star & Rich Harmonize Spotted Wearing Fake Gucci Suit
I’m Star & I’m Rich ni moja ya mstari uliopo katika wimbo wake mpya wa outside, katika video ya wimbo huu mwanamziki Harmonize ameonekana akiwa amevalia hii fake / inspired Gucci Logo suit. Kutokana na mistari yake hio tukaona twende deep deep tuone kama hii…
Gumzo Juu Ya Mavazi Ya Miss Kyerwa 2021
Zulfa Yazid Suleiman (20) hivi karibuni alishinda kuwa Miss Kyelwa 2021, Zulfa amezua gumzo katika mitandao ya kijamii kutokana na uchaguzi wake wa mavazi aliyoyavaa katika uzinduzi wa Jengo La Mkuu Wa Wilaya ya Kyerwa. Katika uzinduzi huo, Zulfa alichagua kuvaaa ripped jeans, stripped tshirt…
Martin Kadinda Ashauri Warembo Kuhusu Mikataba
Ikiwa bado tupo kwenye sintofahamu kuhusu nani atashiriki Miss World kati ya Rosey Manfere na Juliana Rumugisa. mbunifu Martin Kadinda ametoa maoni au ushauri wake kwa warembo katika Tasnia hii ya mitindo. Akihojiwa na Iamchombo kutoka Zamaradi Tv, Martin aliulizwa kuhusu sakata hili la Miss…
Everything About Issa Rae Wedding Dress
Muigizaji na producer Issa Rae amefunga ndoa na mpenzi wake ambae ni mfanyabiashara Louis Diame. Issa Rae na mpenzi wake huyo wamefunga ndoa huko Southern France, huku sherehe hio ikiwa imefanyika katika ukumbi wa Grand-Hôtel du Cap-Ferrat. Issa Rae alivaa 2 Custom Vera Wang Haute…
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…