Burna Boy Kuvaa Crop Top, Zuchu Na Boxing Pants And More Fashion News
The week had alot going on, tumeona looks kutoka kwa watu maarufu ambayo tumeiona mtandaoni. Tunakuletea zile stories za fashion na urembo ambazo zili make headlines kwa namna moja au nyingine Mwanamuziki Burna Boy kutoka Nigeria alivaa risqúe ‘crop top’ akiwa ana perform on stage…
Hamisa Mobetto Na Mahusiano Mapya, Wiz Khid Ayo Kwenye Cover Ya Vogue, Zari Under Wear Saga + More
Kama ilivyoada huwa tunawaletea habari zilizoshika headlines kwa upande wa fashion kwa week nzima, week hii tumeona habari nne ambazo zimeshika vichwa vya habari vingi. Mwanamitindo na fashion entrepreneur Hamisa Mobetto ameonekana kuwa na mahusiano mapya, mwanadada huyu ambae alionekana akiwa Dubai na Mwanamuziki Ricky…
Flaviana Matata Afunguka Kuhusu Kuvunjika Kwa Ndoa Yake, Jackie Cliff Arudi Uraiani, Budget Ya Harusi Ya Aristoste + More
Week nyingine imeisha na huwatunajua ni lazima kuwe na jambo la kuongelea, well week hii zilizoonekana kushika masikio ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata kufunguka kuvunjika kwa ndoa yake. Flaviana Matata alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…