SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Habari

Pantone Wametangaza Rangi Ya Mwaka 2021 

Kila mwisho wa mwaka kampuni  ya Pantone inayodeal na global color trends yaani imejikita katika utafiti wa rangi katika tasnia ya fashion hutoa rangi ambayo ndio huitwa rangi ya mwaka. Mwaka huu pantone wametaja rangi mbili kuwa rangi za mwaka 2021 ambapo rangi hizo ni PANTONE…

Habari

Rose Manfere Miss Tanzania 2020 

Usiku wa Dec 5, 2020 Tanzania ilifanikiwa kupata mlimbwende mpya ambae ataenda kutuwakilisha katika shindano la Miss World. Aliyekuwa mshiriki wa miss Tanzania, akiwakilisha  Kanda ya Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Rose Manfere (21) amefanikiwa kutwaa taji la miss Tanzania. Rose ni mwanamitindo lakini…

Habari

Master Jay Serving Minimalist Style 

Producer wa muziki Master Jay ameonekana kuwa na style mpya, kama hukua unajua Master Jay alikata nywele rasta zake kwa sababu zake binafsi kwa sasa ananyoa tu nywele fupi. Seems like hajafanya mabadiliko haya kwenye nywele tu bali na kabati lake. Kwa sasa tumeona anapenda…