SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Habari

Namna Mbalimbali Za Kuvaa Nguo Za Leather 

Moja kati ya material ambayo fashionista wengi hutumia katika mavazi yao ku-stand out (kuwa watofauti) ni material ya leather. Si watu wengi ambao sio fashionista’s wanamiliki mavazi ya material haya, lakini ni material ambayo ni nzuri inayokufanya uonekane wa tofauti na kama utachagua material nzuri…

Habari

Dondoo 5 Za Mitindo Kwa Watu Wanene 

Miili imekuwa kisingizio cha wengi kutokuvaa na kupendeza, lakini kumbe kila mmoja wetu anaweza kuvaa na akapendeza inatakiwa tu uujulie mwili wako wa aina gani na mavazi yapi yanakufaa, kama ungependa kujua zaidi kuhusu aina ya mwili wako na mavazi yapi yana kufaa tunashare link…

Habari

Afroswagga Fashion Awards 

Afroswagga Fashion Awards kama zilivyotambulishwa ni jukwaa jipya ambalo limekuja kwa lengo moja mahsusi ikiwa ni kuthamini mchango wa wadau mbalimbali katika tasnia ya mitindo na urembo. Inafahamika kuwa kwa sasa Tanzania tunalojukwaa  moja kubwa ambalo ni Swahili Fashion Week. Jukwaa ambalo linafanya kitu hiki…