SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Habari

IDRIS ELBA, KATIKA UJIO MPYA WA MAXIM 

Inawezekana uigizaji na uana mitindo ni kazi ambazo zina shahabiana, ndio maana ni rahisi kwa muigizaji kuwa mwanamitindo na mwanamitindo kua muigizaji. Muigizaji ambae amewahi kuigiza kwenye filamu kama The Wire’s drug kingpin Stringer Bell to Nelson Mandela, na hivi karibuni ata onekana katika filamu…

Habari

KODI KUONDOA MATUMAINI YA WABUNIFU LONDON 

Ndani ya kipindi kisichozidi miaka miwili kampuni ya The Trampery ilifunguliwa rasmi huko nchini Uingereza katika jiji la  London, Ikiwa inaendelea kukusanya nguvu na kulitendea haki soko la mitindo kampuni inalazimika kufungwa kwa sababu ya ongezeko la kodi.  Wabunifu kama Jonathan Saunders, Holly Fulton and James…