SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Habari

MALKIA WA UINGEREZA AMUALIKA MBUNIFU MUSTAFA HASSANALI KATIKA COMMONWEALTH FASHION EXCHANGE 

Mustafa Hassanali amealikwa katika hekalu la Buckingham Kampuni ya Rwanda Air kumsafirisha Mustafa Hassanali kuelekea uingereza. Nguli wa mitindo barani Afrika, Mustafa Hassanali amealikwa  katika shughuli ya kubadilishana mawazo  kuhusu mitindo kwa nchi za  jumuiya ya madola. Nguli wa mitindo barani Afrika ambaye ametunukiwa tuzo mbalimbali, Mustafa Hassanali,…

Habari, Mitindo

FAHAMU JUU YA UNISEX FASHION KARNE HII 

Fashion kwa miaka Mingi imeendelea kupanukana kwa karne hii ya 21 tumejionea wabunifu wa mavazi duniani wakibuni mavazi kulingana na nyakati na kwa kasi UNISEX ama ANDROGYNOUS fashion and style sense imeanza kushamiri . Well unisex fashion and style ni mavazi yanayobuniwa na kuweza kuvaliwa…

Habari, Mitindo

Bank W and Adesua’s Fashionable Wedding 

Mwanamuziki Oluwabankole Wellington ambae ana julikana kwa Jina La Bank W kutoka Nigeria amefunga ndoa na mpenzi wake ambae ni actress kutoka huko huko Nigeria Adesua Etomi, Harusi yao hii ni traditional wedding walialika watu wengi maarufu (kitu ambacho tulikitegemea sababu wote ni maarufu), na as we…