SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo

NAMNA 5 ZA KUDUMISHA NYWELE ZENYE DAWA 

Wengi wetu huwa tuna dhani kuweka dawa na kufanyia steaming ndio kutakuza na kufanya nywele zetu kuwa na afya, hivyo utakuta mtu ana weka dawa kila baada ya mwezi na kufanyia steaming kila baada ya week mbili. Hii ndio husababisha nywele kunyonyoka na kutokua na…

Dondoo

KUZA NYWELE KWA MAJI YA MCHELE 

Ina shangaza ndio, na ina weza isiaminike lakini huo ndio ukweli. Maji ya mchele yana faida kubwa katika nywele una weza kuuliza kivipi na nani yame msaidia, ina semekana kabila la Yao kutoka kijiji cha Huangluo  Nchini China ndilo kabila ambalo lina wanawake wenye nywele…

Hair

Box Braids with Curly Ends Trend 

Kama wewe ni mpenzi wa rasta basi tunauhakika utaupenda huu mtindo ambao una trend kwasasa, unaitwa Spanish braiding extensions au box braids with curly ends. Style hii ya rasta inaishia na mawimbi mwisho ambayo inakupa nafasi ya kuzi-style namna mbalimbali bila kuchosha. Kwa wale ambao…

Hair

Afro Hair Style Trend 

Afro hair style huwa inakuja kwenye trend na kupotea japo Afro ni nywele za ki-Africa lakini mara nyingi wengi wetu huwa tunapenda kuziweka dawa ziwe sleek au kutumia weavings na wigs za sleek hair. Kwa sasa tunaona Afro Hair Style inarudi na kuonekana kuanza ku-trend,…

Hair

Namna Ya Kuandaa Rasta Zako Kabla Ya Kuzisukia 

Asilimia kubwa ya wanawake kwa wanaume kwa sasa wanasukia rasta, ni namna moja ya ku-protect nywele zako asilia lakini pia kuonekana mtanashati. Lakini mara nyingi baada ya kusikia rasta tunapatwa miwasho, hii ni kutokana na kemikali zilizopo katika rasta hizo tulizosukia. Lakini unaweza kuepukana na…

Hair

Faida Za Foronya Za Satin/Silk Kwenye Nywele 

Inawezekana unatumia pesa nyingi katika kununua products za nywele lakini bado unaona matokeo sio mazuri au yanachelewa kujionyesha, hii inawezekana ni kutokana na kitambaa cha mto au shuka unalolalia. Mito au mashuka ya cotton huwa yananyonya mafuta kwenye nywele lakini pia kuzifanya ziwe fizzy na…

Hair

Makosa 4 Ya Wigs Ambayo Hufanyika Na Namna Ya Kuyatatua 

Baada ya kipindi kirefu wig’s kuonekana katika beauty regime ya watu wengi sasa zimeonekana kukubalika kwa kasi na kufanikiwa kuingia katika mainstream popularity in beauty community, asante kwa watu maarufu ambao wameonekana kuzivalia kwa kiasi kikubwa. Ikiwa zinasaidia ku-save muda lakini pia pale ambapo unapata…