FANYA HAYA UKUZE NYWELE ZAKO HARAKA
Je? Ndo umeanza safari yako ya kukuza nywele na nywele zako hazikui haraka kama ulivyotegemea? Basi inawezekana hautunzi nywele zako vizuri. Nitakuelezea njia unazoweza kutumia kukuza nywele zako haraka na kukujulisha makosa gani unayafanya yanyositisha ukuaji wa nywele zako. MAKOSA YA SABABISHAYO NYWELE ZAKO KUTOKUKUA…
KYLIE JENNER NA MITINDO YA NYWELE
Anaitwa Kylie Jenner mdogo wa mwisho wa The Kardashian, juzi tu ame fikisha miaka 18′, Kylie amepata umaarufu kupitia dada zake lakini pia mitindo yake ya nywele na midomo. Kylie ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Tyga amekua hapendi kutulia na nywele za aina moja mara…
BEIBER KUWA SURPRISE MASHABIKI
Alhamisi mwanamziki Justin Bieber alifanya tamasha la bure huko centrel park kwa ajili ya kipindi kiitwacho the Today Show, hakuna mtu alieona mabadiliko hadi pale Justin alipo toa kofia yake na watu kuona kama ame badilisha rangi ya nywele zake. “nadhani maisha yana kupeleka sehemu…
MITINDO YA NYWELE
Wasanii au watu maarufu wamekua kioo cha jamii kwa vitu vingi, tabia, misaada, elimu na hata mitindo. Wengi huwa tunaangalia kutoka kwao na sisi ndio tufanye. wiki hii wengi wame badilisha mitindo yao ya nywele wengine wamtoa nyeusi waka weka dhahabu na wengine wametoa fupi…
MITINDO YA RASTA 2015
Wanawake wengi ime zoeleka hawafanyi kitu mpaka wamuone fulani kafanya, kama kusuka mpaka wamuone beyonce au mtu yoyote maarufu kasuka na wao ndio wasuke. Mwaka huu wasanii wame suka sana Rasta leo tunakuletea baadhi tu ya mitindo ambayo ipo kwenye chati mwaka huu na ime…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…