Mitindo Mizuri ya Nywele Kwa Ajili ya Valentine’s Day
We are few days away from Valentine’s day and we all know siku hii ya wapendanao tunapenda kupendeza kwa ajili ya wapenzi wetu, well leo tunakuletea quick fix ya mitindo ya nywele mizuri ambayo unaweza kusukia au kushonea kwa ajili ya siku hii maalum. Dinner…
Msanii A Pass Kutoka Uganda Atumia Milion 3.5 Katika Hii Hair Style
Ukistaajabu ya Gigy Money utayaona ya Msanii Alexander Bagonza A.K.A Apass kutoka Uganda ambae yeye alipost huu muonekano wake mpya wa nywele na caption aliyoandika “How do I look with this 3.5 million hair cut ✂️ ??? Be positive I spent a lot of money 😂😂😂 #Twookya Cc @hairbyzziwa @barber_chris553”…
Mitindo Ya Rasta Inayo Trend Kwa Sasa
Tunajua namna ambavyo nywele zinaweza kukamilisha muonekano wako, zinaweza kuharibu au kuboresha muonekano wako. Katika pitapita zetu katika mitandao ya kijamii tumeona baadhi ya mitindo ya rasta ambayo imeonekana kuwavutia wengi na ina trend kwa sasa, tukaona tuwaletee ili muweze kupata idea ya mtindo gani…
Irene Uwoya, Jacqueline Wolper & Mimi Mars In Rainbow Hair Do
Kama utakuwa umenotice the trending hair style kwa sasa ni Rainbow hair, Hii ni style ya nywele ambayo inakuwa na rangi moja kuu lakini ndani yake kuna rangi nyingine nyingine mchanganyiko, inaweza kuwa a wig, weave au hata natural hair inawezekana kufanya. Tumeispot kwa watu…
Njia 5 Za Kujali Edges Zako Zisikatike
Edges ni hizi nywele za mbele, pembeni na nyuma ya kichwa, mara nyingi nywele hizi huwa zinakatika sana, na hii ni kutokana na kwamba zenyewe ni nyepesi lakini pia hupitia mambo magumu ikiwepo kuzilalia, ukichana au kufunga mtindo unazifuta kwa nguvu kwenye kusuka pia zinavutwa,…
Its Pixie Haircut Style Season
Huko mitandaoni kuna hair styles mbalimbali zinaendelea ambazo tumeziona lakini kinachoonekana kuja kwa kasi kwa sasa hivi ni Pixie Cut ambapo style hii ya nywele nyuma zinakuwa fupi halafu mbele ndefu kidogo upande mmoja, hii hair style kuna kipindi fulani ilikuwa inaitwa “Rihanna hair style”…
Kim Kardashian Asuka Fulani Braids Katika Tuzo Za MTV Movie & TV Awards
Mwanamitindo na mjasiriamali Kim Kardashian ameonekana katika Tuzo za MTV Movie & Tv Awards akiwa amesukia rasta za fulani braids, kuna kipindi hizi rasta zilitrend sana watu maarufu wengi walisukia imeonekana Kim kavutiwa nazo na kuzisukia katika hafla ya MTV Movie & TV Awards, Kim…
Jinsi Ya Ku-Blow Dry Nywele Za Asili Bila Kuziharibu
Moto ni mbaya kwa nywele zetu, zinasababisha nywele ziwe dhaifu. Lakini nywele zetu za ki – Africa zinajikunja sana wakati mwingine ni kazi hata kuzichana inabidi ujaribu kuzilainisha kidogo au kuziweka ziwe straight. Leo tunakuletea namna ambavyo unaweza ku-blow dry nywele zako na usiziharibu. Ndizi…
3 Tips Za Jinsi Ya Kupendeza Na Nywele Fupi
Well tumemzoea Tiwa Savage akiwa na weaving au wigs ni mara chache kuona nywele zake. Lakini inaonekana huu mwaka watu wengi wameamua kukata nywele na Tiwa Savage ni moja wapo. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Tiwa alipost muonekano wake huu mpya akiwa amekata boy-ish low…
Tutegemee Card Za Mualiko Wa Birthday Ya Style Ya Nywele Za Harmonize
Colorful hair styles ndio trend ya mwaka huu tumeona baadhi ya watu maarufu mbalimbali wakiwa wameweka rangi katika nywele zao, watu kama Kim Kardashian, Jaden Smith na Chris Brown wameonekana wakiwa na style hii lakini hawa tumesha wazoea hapa kwetu tumeona wasanii kadhaa wakiwa wame…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…