SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hair

Solange Vs Athi-Afikile Beads Braids Hair Style 

Beads Braids bado zina trend na tunaweza kusema African’s we are real pushing through na hii mitindo ya nywele tunayo ianzisha na kuongezea urembo tofauti tofauti kufanya misuko yetu ionekane ya tofauti. Mwanadada Solange Knowles ambae ni mdogo wa Beyonce ameonekana akiwa amesukia rasta za…

Hair

Kwanini Ukate Ncha Za Nywele? 

Katika kushauriwa ukuzaji wa nywele zenye afya na ndefu mara nyingi tunakuta tunaambiwa tukate ncha za nywele, lakini kukata ncha hizi za nywele kuna saidiaje kukuza nywele? na je ni mara ngapi unatakiwa kukata hizi ncha? Ncha za nywele ni zile nywele zilizopo mwishoni kabisa…

Hair

Mtindo Wa Rasta Unaotrend Kwa Sasa 

Mwaka jana tuliona Beyonce ame trendisha hizi braids hair styles ambapo watu wakazipa jina la formation tour braids, well mwaka huu tumemuona Lupita Nyongo akiwa amesukia hii style ya rasta ambapo tumeona fashionista’s wengi wamekuwa obsessed nayo. Lupita akiwa amepamba gazeti la Allure mwaka huu…

Hair

Maua Sama Gone Blonde 

Maua Sama ni moja kati ya wanamuziki ambao tunaweza kusema wanafanya Fashion Evolution, Maua wa sasa si yule wa zamani, she changing her looks more often lakini pia anatoka kwenye comfort zone yake, Zamani ulikuwa ukitajiwa maua kinacho kujia kichwani ni her signature look ya…

Hair

Ali Kiba Debuted New Hair Style 

Mwaka unaanza kuwa interesting katika Fashion tunapenda tunacho kiona blonde ina pumzishwa, wasanii hasa wa kiume hawakua na style’s nyingi za nywele wengi walikua wana bleach nywele au kuweka vile virasta lakini mwaka huu inaonekana wengi wameamua kuja kivingine as tulianza kumuona Ben Pol akiwa…

Hair

Stitch Braids Styles Ideas From Irene Uwoya 

Ni sisi au ni kwamba rasta zimepungua kiki sio kama mwaka jana? well mwaka jana tuliona watu maarufu wakiwa wamesukia rasta watu kama Rihanna, Beyonce,Kelly Rowland na wengine wengi walionekana na style za rasta japo mwaka huu hatujaona sana lakini tunachoona kinakuja kwa kasi mwaka…