SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hair

MIMI MARS SHORT BLONDE HAIR STYLE 

Mimi Mars ni mtangazaji lakini pia ame amua kuibuka katika Tasnia ya muziki wa bongo flava akifuata nyayo za dada yake Vanessa Mdee, Mimi amekuwa akisifika kwa kujua fashion she is always on point na juzi amekuja na new hair do ambapo ameonekana akiwa na…

Hair

NEW BLONDE IN TOWN – WIZ KHID 

Ayodeji Ibrahim Balogun ana julikana kama Wiz Khid ambae kwa sasa ana hit na wimbo wake wa Dady yo ameonekana akiwa katika muonekano mpya baada ya ku bleach nywele zake, Well Wiz Khid needed this maana alikua na muonekano mmoja tu tulio mzoea ila je…

Hair

CRUSHING ON IRENE PAUL’S NATURAL HAIR 

Ikiwa ni jumatano nyingine tena huko mitandaoni leo ni all about #WCW yaani Woman Crush Wednesday lakini kwetu leo tuna crush badly on Irene Paul’s natural hair, Irene ni muigizaji wa bongo movie mwenyewe huwa ana jifananisha na Angeline Jolie Well kama wana fanana kweli…

Hair

ELIZABETH MICHAEL STUNS IN BOHEMIAN CURLS 

Elizabeth Michael ame post pictures zake akiwa na muonekano mpya, well sote tunajua ame kata nywele lakini kuna weaves na wigs za kutusaidia pindi tunapo hitaji kuonekana wa tofauti, na hiko ndicho alicho kifanya Lulu, She rocked Bohemian Curls Wig, ambayo ime mfanya aonekane wa…

Hair

WATU MAARUFU WAKIWA KATIKA LOW CUT HAIRSTYLE 

Low cut ime kuwa a hit kwa sasa maana asilimia kubwa ya watu maarufu bongo wamenyoa nywele na kuacha nywele fupi, wakiwepo hawa watatu Jacqueline Wolper, Shaa na Feza Kessy. sio kitu rahisi sana kumkuta msichana/mwanamke kakata nywele zake na yuko proud kuonyesha kwamba kanyoa,…

Hair

GREY HEIR DON’T CARE – BLAC CHYNA 

Angela Renée White una weza kumuita Angela Robert Kardashian au Blac Chyna ni model na mjasiriamali lakini pia ni video vixen, Chyna ambae hivi karibuni ame jifungua mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake wa sasa Robert Kardashian, wakati mwanae wa kwanza ali zaa…

Hair

KANYE WEST KATIKA HAIR STYLE MPYA 

Rapper Kanye West ana onekana ndio rapper asiye ishiwa vituko, siku chache baada ya mkewe kuibiwa na yeye kupata tatizo la mental break down Kanye alionekana tena mtaani baada ya kurudi alionekana akiwa ame weka bleach nywele zake kidogo kichwani lakini sasa amekuja na hii…