Jinsi Ya Kuvaa Heels Na Socks
Mara nyingi huwa tunasema ni vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha muonekano wako kabisa kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, well japo kuna shoe accessories ambazo unaweza kuziongezea kubeba muonekano wa viatu vyako lakini pia unaweza kujaribu kwa kuvaa heels zako na socks. Branded Socks Are The…
3 Tips On How To Wear Black And White To Work
Kama kuna mavazi rahisi ku-style mavazi ya meusi na meupe kazini, lakini wengi tunayaepuka sasa hivi kutokana na kuwa ni work uniform ya ofisi nyingi sana na sote tunajua namna gani wa fanya kazi wanachukia sare za ofisi. Lakini pia tulisha wahi kusikia Lady Gaga…
Victoria Kimani Na Kim Kardashian Wanatuonyesha Namna Ya Ku-style Puffer Jacket
Kinacho trend kwa sasa ni puffer jackets ziwe cropped au long ni chaguo lako tumesha ona watu maarufu mbalimbali akiwepo fashion icon Rihanna akiwa amevaa. Well ukiachana na Riri wapo pia Kim Kardashian na Victoria Kimani ambao wao wameonekana kuvaa hizi jackets hivi karibuni. unaweza…
4 Times Jacqueline Mengi Showed Us How To Style A White Skinny Jeans
Katika vitu ambavyo ni wardrobe essentials basi skinny jeans nayo ipo, iwe nyeupe, nyeusi, grey au hata blue as long as iwepo. Ni rahisi ku style lakini pia unaweza kuingia nayo popote kama tu uta-istyle kutokana na tukio na eneo uendalo. Well mwanadada Jacqueline Mengi…
Maua Sama In Tripple Denim Trendy
Double denim imekua kwenye trend muda sasa na inaonekana triple denim is taking over, in fact triple denim is all over already. Tunapo ongelea double denim ni kuvaa denim mbili mfano: denim shirt na denim pants, triple denim ni kuvaa denim tatu mfano: denim shirt,…
How To Style Graphic Tee Like A Fashionista
A graphic tee is a must have, they never go out of style. Huwa zina pumzishwa tu lakini graphic tee ni timeless essential zimekuepo tangu na tangu, mwaka huu tumeona designers mbali mbali wakitumia maneno mbalimbali ya ku-empower katika t-shirt zao tumeona watu maarufu mbali…
Wardrobe Essential – The Plaid Coat
Kama ni mpenzi wa mitandao ya kijamii na ume wa follow fashionistas lazima utakuwa umeelewa nini tunaongelea, The plaid coit is everywhere karibu kila siku lazima ukutane na picha za baadhi ya fashionista wamevaa, well sio tu plaid coat ni grey plaid coat, ni muda…
How Switch A White Official Shirt To Casual For The Weekend
Moja kati ya essential muhimu katika kabati lako ni white shirt, a white shirt can be dressed anyhow you want. Wengi wetu huwa tunayo na tunayatumia sana ofisini lakini kumbe unaweza kulitumia weekend pia, wakati ofisini unalivaa na suit, pencil skirt au trouser official na…
3 Outfits We Can Definitely Borrow From These Models That’s Are Perfect For This Weather
its raining, raining ooh baby its raining raining kwa hii mvua we can definitely hear Rihanna akiiuimba huu wimbo, its rain season na hali ya hewa ikibadilika ni muda wa kufanya madiliko katika kabati lako, we all know huwezi kuvaa vest na hii mvua unless…
Colorful Outfit Ideas To Brighten Your Day
Wakati mwingine kuongeza rangi katika mtoko wako kuna sababisha siku yako iwe njema kabisa, a little touch of color can change your mood. Wakati mwingine unaweza kuamka na siku mbaya kabisa inabidi ujaribu kutafuta kitu gani kinaweza kufanya siku yako ibadilike, na kitu rahisi ni…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…