Fally Ipupa Wore Louis Vuitton Monogram Admiral Jacket That Cost $6,550
Mwanamuziki kutoka Dr Congo, Fally Ipupa alihudhuria katika Tuzo za Afrimma 2019 akiwa amevalia jacket kutoka katika brand ya Louis Vuitton. Tuliliona jacket hili katika runway ya Louis Vuitton, ikiwa mbunifu Virgil Abloh alipresent his Fall 2019 collection huko mjini paris Kama kawaida tulitaka kujua ilimgharimu shilingi ngapi…
Can We End The Too Much Bling Bling Trend?
Imekuwa tabia ya watu maarufu wengi kuvaa jewelry nyingi aina tofauti tofauti katika mavazi yao, hatujajua lengo la kuvaa hivi ni nini kama ni kuongezea minogesho katika mavazi yao au kutuonyesha kwamba wanauwezo wa kumiliki vito vya gharama. We love when this trend is done…
Vera Sidika Is Back To Her Natural Skin Color
Miaka michache nyuma mwanamitindo na socialite kutoka Kenya, Vera Sidika alikuwa kwenye headlines kutokana na kujibadilisha kwake mwili. Vera aliamua kujichubua ngozi na kuwa mweupe, akaongeza na baadhi ya viungo vyake mwilini. Leo katika page yake ya Instagram Vera ameshangaza wengi baada ya ku-post picha…
We Live For Irene Uwoya’s Style Transformation
Kuna kuvaa na kuonekana umependeza lakini pia kuna kuvaa na kuslay uonekane umechukua muda wako katika kufikiria nini uvae na ku-put together outfit pieces, lakini hii sio tu outfit ni sanaa ya kuanzia nywele, viatu, makeup and accessories even attitude, tukimuongelea Irene Uwoya wa mwaka mmoja nyuma…
Mwasiti Almas Ana Kwama Wapi?
Kama wewe ni moja kati ya wafuasi wa Mwasiti hili na wewe utakuwa umeliona, Mwasiti ni moja kati ya wasinii wenye vipaji vikubwa kabisa katika sekta ya muziki, ni kama Lady Jay Dee wa miaka hii. Ukiachana na wengine ambao huwa wanasingizia miili yao kwa…
Kylie Jenner Is Back After Giving Birth And She Still Is Body Goals
So Kylie Jenner karudi kwenye macho ya watu na mitandao baada ya kujifungua, yes she is in her 20’s and yes tayari ana mtoto. Kylie alikua na ujauzito wa mwanamuziki Travis Scott ambapo waliamua kuwa low key kwa miezi tisa mpaka pale Kylie alipojifungua tarehe…
9 Outfit Tracee Ellis Ross Wore While Hosting The AMA’s
We all love a good weekend, hasa kama upo tu nyumbani lakini kuna vingi vinatokea huko duniani na all you can do scrow down and refresh your social media accounts kupata yanayojiri. weekend hii ilikua na mengi lakini moja wapo kubwa ni American Music Awards,…
Yemi Alade Showing Skin In A Wedding Reception Inspiration Look
A little bit of showing skin doesn’t hurt no body, kama wewe ni mke mtarajiwa na ungependa vazi ambalo linaonyesha mwili wako kidogo (show off what your mama gave ya) basi Yemi Alade anaweza kuku-inspire, kwa vazi hili la Yemi Alade unaweza kuvaa kwenye Wedding…
Fashion Fix : How To Wear Sneakers With Ball Dress Just Like Rihanna And Kelly Rowland
Wote kwa pamoja ni wanamuziki,waigizaji lakini pia ni fashion lovers, Rihanna na Kelly Rowland are fashion goals linapo kuja swala la fashion duniani, kila mmoja wao ana styles zake tofauti zinazo wavutia wengi wameonekana kutupa fashion fix moja kwamba unaweza kuweka heels pembeni na kuvaa…
Style Muse – Nuru The Light
Anaitwa Nuru Magram a.k.a Nuru The Light tulianza kumsikia mwanzoni mwa mwaka 2000, ambapo alianza kama mwanamuziki vibao vyake ambavyo vilitamba mno ni “msela” na “walimwengu”, Nuru ukiachana na muziki alifanya modelling kidogo na sasa ni fashion blogger. Nuru ni Style Muse wetu leo kama ukitembelea…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…