Kim Kardashian Is Taking Sweatpants In Another Level
Linapo kuja swala la Fashion huwezi kumuescape Kim Kardashian she is all over from bandage dress, crop tops, hot pants, killing on red carpet’s etc, hivi karibuni tume notice Kim K namapenzi yake katika kuvaa sweat pant na hazivai kama ambavyo wote tunazivaa labda yupo…
Spotted Victoria Kimani, Vanessa Mdee In Track Pant Trend
Track Pant zimekua zikitrend kwa muda sasa, kuanzia fashion bloggers, fashionista’s watu maarufu mbalimbali wamekua wakirock hii trend, tunaweza kusema track pant are new leggings, na tumeipenda hii trend unaweza kuvaa na chochote lakini mostly ni kwamba track pant are so comfortable. Kwa East Africa…
Fashion Review – Fiesta 2017 Arusha
Ni msimu mwingine wa Fiesta nasi mara paaaaap tumejiandaa kutupia jicho letu kwa wasanii na watakavyovalia stejini. Well, Jumamosi hii kilisomeka Arusha ambapo fiesta ilizinduliwa mkoani humo na macho yetu yalikuwa kuaangalia wasanii na kuchambua nani alitupia na nani aliboronga. Kwa wasichana, wasanii Vanessa Mdee,…
Red Carpet Crush: Ghana Actress Zynell Lydia Zuh
Zynell Lydia Zuh ni muigizaji kutoka Ghana ambae kwetu ana tuvutia na mitindo yake akiwa red carpet au kawaida, Zynell ana slay hatari kuna wale ambao wanasemaga fulani kapania kwenye red carpet tunadhani hamja wahi kukutana na huyu dada huyu hapanii ana komoa, ana hakikisha akiingia…
#AfroApproved – Victoria Kimani NBA Africa Game Orange Outfit
Mwanamuziki kutoka Kenya Victoria Kimani ameonekana akiwa amevalia hii outfit ya Orange katika NBA Africa Game 2017, tumependa jinsi ambavyo hii outfit imekuwa styled Amevaa orange romper ambayo imewekwa mikono mikubwa, ame accessorize na fishnet nyeupe, bangili, hereni vya dhahabu Amepaka simple makeup na bold…
Style Crush: Vera Sidika & Her Chic Styles
Vera Sidika ni video vixen, fashion model na mjasiriamali kutoka Kenya, Ukiongelea slayers Kenya na yeye yupo amajipatia jina kutokana na plastic surgery yake lakini pia bifu zake za mara kwa mara na Huddah, Well leo tu amekuwa style crush wetu kutokana na anavyo vaa…
Spotted: Dogo Janja Rocking Fanny Pack
Fanny Packs zipo on trend kwa sasa karibu kila mbunifu anaebuni mapochi amebuni hivi vijipochi vya kuvaa kiunoni na inaonekana watu maarufu wengi wana vipenda tumesha wahi kuviona kwa watu ni kama Kendall Jenner Kourtney Kardashian na kwa wavulana tulimuona Asap Rock akiwa amevalia…
Model Of The Week – Tanzania Own Teyana Taylor “Niler Bernald”
Niler Bernard ni mwanamitindo kutoka Tanzania ambae sisi tunaweza kusema we must watch her out maana kasi yake kubwa mno. Sio mwanamitindo mpya katika Tasnia yupo kwa miaka mitatu au minne (kama hatukosei) tunadhani alikuwa ana jiandaa na sasa ame rudi na we are loving…
Weekend Highlights: Elizabeth Michael In Kyamirwa & Diva glam Beauty Hands
Weekend ilikua ya hasham hasham hasa kutokana na event ya fashion ya Ally Rehmutallah ambapo alikua ana fanya model audition akiwa ana tafuta models kwa ajili ya event yake ya kutimiza miaka 10 ya Ally Rehmtullah ma judge walio kuwepo ni Shetta, B Dozen, Salama…
FridayMuse: Lavie Makeup Showing Off Her Perfect Curves In Velvet Dress By Elisha
Tunamjua kwa jina lake la biashara Laviemakeup, ni make up artist anae fanya kazi na watu wengi lakini pia anafanya kazi na watu maarufu kama Wema Sepetu, Elizabeth Michael (lulu), Jokate mwegelo na wengine wengi Lavie ametajwa na Forbes kuwa ni moja ya vijana wenye…
HOT TOPICS
May Be “May Be” They Will Listen To Flavy 😂, Some Of Them Have Full Makeup On Wanatangaza Product Ya Uso 🤔 https://t.co/1OysMjaJd8
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…