Wema Sepetu Breath Taking In Elisha Red Label Dress
Tanzania Sweetheart bi Wema Sepetu jana ameachia picha zake mpya akiwa amevalia blue ocean dress kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label, we loving this look kwa kweli, mwenyewe ana sema ni road to her new movie premier kama hii ni teaser we cant wait kwa…
Tumependa Hii Kutoka Kwa Gigy Money
Japo huwa tunaambiwa don’t judge the book by its cover lakini wengi wetu huwa tuna fanya hivyo, na sisi leo acha tuseme tu we are judging the book by its cover. Tumependa hii cover ya Gigy money ya wimbo wake mpya wa “papa” tuna weza…
Weekend Highlights -Elizabeth Michael Rocking Pokello Pink Bottom Pumps With White Dress
Sisi tunamuita slayer mdogo, kwa sababu umri wake mdogo lakini ana slay kuliko wale wenye umri mkubwa. Elizabeth Michael alimaliza weekend yetu kwa kupost hii picha akiwa amependeza in her white off shoulder dress na pokello pink bottomΒ pumps ana new hair do, ambazo ni…
Tony Awards 2017 Red Carpet
Tunapenda red carpet sababu huko tunapata kuona mitindo mbali mbali na kujua nini kina trend katika fashion world hasa high end fashion, Tony awards zime fanyika jana na hizi ndizo tulizo zipenda kutoka kwenye awards hizo Denee Benton in Oscar De La Renta Dress Condola…
Jokate Mwegelo In Grennery FLoral Iftar Outfit
Well kama tulivyo sema huu ni mwezi wa mialiko na seems like siku za mialiko ya Iftar ndio zimesha changanya week ya jana tulimuona Elizabeth Michael alivyo slay iftar outfit in Elisha Red Label Dress, Week Hii Tunamuona mwana dada Slayer mwingine Jokate Mwegelo akiwa…
Weekend-highlights – Nandy Na Cinderella Theme Photo shoot
Nandy ni mwanamuziki wa kike anae fanya vizuri kwa sasa,kuanzia nagusa gusa, one day na sasa wasikudanganye Nandy ana fanya vizuri na tunaweza kusema ni msanii ambae ana shirikisha sana wabunifu na stylist katika kazi zake labda kwa sababu ana penda mitindo au kwa sababu…
Elizabeth Michael Rocking Elisha Red Label Dress For Iftar Date
Tanzanian Slayer Elizabeth Michael ametupia picha yake mpya akiwa amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label kama mtoko wake akiwa ameenda kufturu kwa rafiki yake we love the dress, Kimono ni moto na color combination is on point, lakini kidogo hijab ime tuangusha tuna…
Wednesday Muse – Victoria Kimani
Mwanamuziki kutoka Kenya Victoria Kimani leo amekuwa Wednesday Muse wetu kwa huu mtoko wake, kiukweli kwa hili joto na jua la sasa hivi all you need is a sexy colorful dress (show what you got mama) tume penda this colorful look, glasses on point na…
Janelle Monae Kept It BW at 2017 CFDA Fashion Award
Our favorite Naturista Janelle Monae jana alivow in black & white jumpsuit kutoka kwa mbunifu Christian Siriano na we must say Janelle si mtu wa mchezo mchezo, kama tittle ya event ilivyo kuwa ni Fashion Award na Janelle surely kept it Fashionable Tumependa short hair…
KOURTNEY & KENDALL WANAJARIBU KUIRUDISHA HII TRENDY
Kourtney Kardashian na mdogo wake Kendall Jenner wame onekana kutaka kuirudisha hii trend ya Fanny Pack ( Fanny Pack ni vile vipochi vinavaliwa kiunoni mara nyingi huvaliwa na wauvaji wa vitu kama sokoni,madukani, mitumbani etc wana wekea fedha zao.) Lakini zamani kidogo ilikuwa a hit…
HOT TOPICS
May Be βMay Beβ They Will Listen To Flavy π, Some Of Them Have Full Makeup On Wanatangaza Product Ya Uso π€ https://t.co/1OysMjaJd8
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…