TAUSI LIKOKOLA NI MAANA TOSHA YA SUPPORT CHA NYUMBANI
Tausi Likokola ni International Model lakini anae tokea hapa hapa kwetu Tanzania, Tausi amesha wahi kufanya kazi na wabunifu wakubwa kama Gucci, Escada, Tommy Hilfiger, Christian Dior, Issey Miyake na wengine wengi, ukiachana na uana mitindo Tausi ana NGO yake Tausi AIDS Fund, ambayo ina…
PregnantStyle – Laura Ikeji
Laura Ikeji aliwahi kuwa fashion blogger yeye na dada yake Linda Ikeji wote ni ma blogger kutoka Nigeria, seems like Laura ame simama kidogo blogging lakini hii hamfanyi yeye kuto ku-slay, Laura ni mmjazito na ana tupa pregnant fever her shoe game on point casual…
Michelle Williams Style Revamp Is Goals
Tenitra Michelle Williams ni American recording artist, record producer, songwriter, na actress, Michelle alikuwa katika group la muziki la Destiny’s Child ambapo liliwaunganisha Michelle Williams, Kelly Rowland na Queen her self Beyonce, Lakini kundi lilivunjika na kila mtu akaenda upande wake seems like Michelle aliamua…
Rihanna Ana Jaribu Kum-copy Mr Over Size
Rihanna world’s slayer queen ame tuacha mdomo wazi na outfit zake hizi zisizo mtosha ambazo amezivaa ndani ya wiki moja, slayer huyu alionekana mara ya kwanza akiwa ame vaa suit kubwa kutoka kwa mbuifu Matthew Adams Dolan na akatuacha mdomo wazi like Rihanna real? Lakini…
Vanessa Mdee Avaa Pajama Katika Bill Board Music Awards
Ukweli tuseme Vanessa ni moja kati ya wanamuziki wa kike wanao tuwakilisha vyema kabisa ki muziki ndani na nje ya Nchi, Jana Vanessa ametuwakilisha katika Tuzo kubwa kabisa Duniani za Bill Board Music Award ambapo yeye alienda kama mualikwa na haku chaguliwa kugombania tuzo yoyote….
Weekend-buzz: Ali Kiba Kuvaa Skirt Katika Lip Sync Battle
Msanii wa kizazi kipya Ali Kiba ame ingia katika headlines mwisho wa wiki iliyo pita baada ya kuvaa kama mwanamke katika Lip sync battle Africa, Ali Kiba ambae alikuwa ana m-channel marehemu Brenda Fassie mwanamuziki kutoka South Africa. Ali Kiba alibaa fringe skirt, akapakwa make…
Rihanna Is All About The Carats At Cannes 2017
Jana tuliandika kuna vingi vinakuja katika Cannes Film Festival na tutegemee kuwaona mastaa wengi well slay Queen Bad Girl Riri (Rihanna) Jana ame attend Cannes na alikuwa all about Diamonds, Yes She shine’s bright like a diamond. Rihanna alivalia gauni jeusi kutoka kwa wabunifu Ralph…
Wema Sepetu Is Blessing Our Monday In Elisha Red Label Dress
Muigiazaji Wema Abraham Sepetu ame post picha zake mpya akiwa ame vaa gauni kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label na tuna sema Wema should stick na Elisha, Mwaka jana katika black tie event alivalishwa na Elisha na ali break the internet kwa kupendeza na jumatatu…
IDRIS SULTAN ANA MUONEKANO MPYA – BROWN BEARD
Mwaka jana alikuwa mshindi wa best dressed men in Tanzania (Afroswagga best dressed men in Tanzania), tukiwa bado tunaendelea kuangalia mwaka huu atatoboa au lah, Idris amekuja na muonekano mpya ame amua kufuga ndevu na kuweka bleach ndevu zake zime kuwa za brown Idris ni…
Paris Jackson Too Casual For MTV Movie & Tv Awards
Paris Jackson mtoto wa marehemu Michael Jackson ambae kwa sasa ana onekana ku- shine hivi karibuni ame ingia katika uana mitindo ambapo alionekana ku-model katika kampuni ya mavazi ya channel lakini pia ame saini deal ya movie, Paris ameonekana kushangaza wengi kwa jinsi alivyo vaa…
HOT TOPICS
May Be “May Be” They Will Listen To Flavy 😂, Some Of Them Have Full Makeup On Wanatangaza Product Ya Uso 🤔 https://t.co/1OysMjaJd8
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…